mtima nyongo
JF-Expert Member
- Dec 29, 2015
- 1,947
- 2,046
Katika wote aliowatuhumu hakuna hata mmoja aliyetuthibitishia kuwa ni fisadi na kafungwa zaid tunaona.mbwembwe tu
Ndivyo inavyotakiwa!! Sio kulipa mishaara miwimiwiliBasi kama ni hivyo ashauriwe asiajiri mpaka uchunguzi uishe kama hana hatia arudi job na sio kutomlipa uliemsimamisha
Magufuli anawadanganya watoto.Katika wote aliowatuhumu hakuna hata mmoja aliyetuthibitishia kuwa ni fisadi na kafungwa zaid tunaona.mbwembwe tu