Rais Magufuli Kuisimamia Wizara Ya Fedha Mwenyewe

Rais Magufuli Kuisimamia Wizara Ya Fedha Mwenyewe

achukue wizara ya fedha na uchukuzi... zote akamate yeye, watu wananjaa wakiachiwa tu lazima wapige

Ewaaaaa we una mawazo kama yangu, hizi wizara ya fedha na ya uchukuzi/Ujenzi azikamate mwenyewe, aweke tu manaibu wa kumsaidia baasi

Ila ile ya Maliasili na Utalii angempa Kaghasheki
 
Kwani yeye kusoma Bajeti bungeni anazuiwa??? Katiba si inasema yeye ni sehemu ya Bunge!
 
Ewaaaaa we una mawazo kama yangu, hizi wizara ya fedha na ya uchukuzi/Ujenzi azikamate mwenyewe, aweke tu manaibu wa kumsaidia baasi

Ila ile ya Maliasili na Utalii angempa Kaghasheki

Ndicho alichofanya
 
Bora ashike mwenyewe .hata nigeria wizara ya mafuta kashika Buhari.
 
Akamate fedha na utalii.......sana sana utalii.......wanyama wetu walioondoka wanalalamika sana huko Arabuni.......wanataka kurudi nyumbani...........wasikilizwe mara moja.......[/QUO

Hehehee, napendaga pumba zako.
 
Sijui ni dhamira ipi itamuongoza kuichukua hiyo wizara, kama kisemwacho ni cha kweli.
Kama lengo ni kudhibiti mianya ya rushwa na ufisadi, iweje baadhi ya mawaziri wake aliowateua wana makando kando ya ufisadi (legitimately)?
 
Akamate fedha na utalii.......sana sana utalii.......wanyama wetu walioondoka wanalalamika sana huko Arabuni.......wanataka kurudi nyumbani...........wasikilizwe mara moja.......[/QUO

Hehehee, napendaga pumba zako.

Hi hi hi........pepeta basi upate hata punje mbili za mchele.........zipo......
 
Nashauri aziongoze Wizara zote muhimu mafisadi hawakawii kuweka moles wao humo kwa maslahi yao;Wizara ya Fedha na Mipango,Wizara ya Maliasili na Utalii pamoja na Ujenzi,Uchukuzi na Mawasiliano.
 
Kwani yeye kusoma Bajeti bungeni anazuiwa??? Katiba si inasema yeye ni sehemu ya Bunge!

Sasa hapo ndo shida ya kiswahili.
Kuna bunge=national assembly na bunge = parliament.
Rais ni sehemu ya bunge (parliament) lakini sio sehemu ya bunge ( national assembly).
 
kwa michango ya hapa inaonekana Magufuli hana njaa
 
Zipo tetesi zinazagaa kuwa baada ya Rais kuona upotevu mkubwa wa mapato kuna uwezekano mkubwa wizara ya fedha akaikamata mwenyewe.
Pamoja na hayo yapo niliyojiuliza kwa tetesi hizi,Je,Kama ikawa hivyo nani atasoma bajeti bungeni?
Pili nani atajibu maswali ya wizara hiyo bungeni?Kama naibu wake akiwa na dharura
Wajuwaji naombeni tafsiri ya jambo hili kama tetesi hizi zina ukweli.


Ikiwa kwake ina kuwa na waziri ofisi ya rais fedha, kama ilivyo tamisemi
 
Nowadays there no more TETESI as it used to be on previuos leadership.Hakuna leakeges kabisa kwahiyo we dont rely much on tetesi.
 
Tetesi alafu naibu akiwa na dharalula.
No more comments
 
Mleta mada hii kuna kitu kinakusumba sana!

Kama soma tena mihimili ya dola kisha utajuwa kwama hata katibu mkuu wa wizara ni part
 
Back
Top Bottom