Rais Magufuli kuibadilisha Dar kuwa Kama Ulaya!!!!

BUSAMUDA

JF-Expert Member
Nov 12, 2014
612
358
Hivi karibuni katika uzinduzi wa Flyover raisi wetu kipenzi cha wengi alisema ataifanya Tanzania Kuwa Kama Ulaya. Sasa sijafahamu itamuchukua miaka mingapi na muda wenyewe WA kukaa kwake madarakani ni miaka 5 ikizidi Sana ni miaka 10.

Hii Inaonesha ni kwa njisi gani Watanzania tunabebeshwa matumaini......Utajaza. Chukua muda pitia picha Hapa chini kuonabbaadhi ya miji ilivyopangika.
ImageUploadedByJamiiForums1460915287.119586.jpg
ImageUploadedByJamiiForums1460915311.875075.jpg
ImageUploadedByJamiiForums1460915336.369104.jpg
 
yaani kuwa kama ulaya weusi tutatimuluwa au tutakunywa maji mengi kama ray

kuhusu hayo majengo labda tushuhudie kwenye picha au njozini
 
Hivi karibuni katika uzinduzi wa Flyover raisi wetu kipenzi cha wengi alisema ataifanya Tanzania Kuwa Kama Ulaya. Sasa sijafahamu itamuchukua miaka mingapi na muda wenyewe WA kukaa kwake madarakani ni miaka 5 ikizidi Sana ni miaka 10.

Hii Inaonesha ni kwa njisi gani Watanzania tunabebeshwa matumaini......Utajaza. Chukua muda pitia picha Hapa chini kuonabbaadhi ya miji ilivyopangika.View attachment 339672View attachment 339673View attachment 339674
Alishindwa kikwete kuibadili kigoma kuwa dubai,kama mlivyo tuahidi kwenye kampeni za 2005
 
Alishindwa kikwete kuibadili kigoma kuwa dubai,kama mlivyo tuahidi kwenye kampeni za 2005

Hayo yalikuwa Maneno tu ya Kampeni kama alivyosema Mgombea mmoja kuwa angeweza kufuta Umaskini kwa siku 100 tu! Mwl Nyerere pamoja na dhamira yake na fursa na uzalendo wake miaka 23 hakuweza
 
kwa hio sisi wa huku mikoani haituhusu....itakua vizur na mm niweze kuafford kuja huko ulaya kabla sijarest in peace.
 
Si vibaya kuota!! Kunapunguza machungu ya safari.

Those who believes it can't be done should not cast those who aims to make it happen. While you stand aside watching and laughing at the madnes of the "Go getters", some of us have made our minds, that at whatever the cost our future generations must live a prosperous life in this country so called Tanzania, even if we die before we see it. We shall go back to where we started and see that place for the first time!!
 
Mipango mizuri na mitamu haikuanza Leo ktk nchi hii tulianza tangu enzi za mwalimu!!

Ahadi tamu tamu mithili ya asali hazikuanza leo...

Ndo maana nimesema si vibaya kuota.... Kunapunguza urefu wa usiku.....

Sent from my Lenovo A6000 using JamiiForums mobile app
 
But why we should walk looking backwards?? Is yesterday the light of tomorrow??? We must come to a point where we draw a line between the "Dark Past" and the "Bright Future" or else we erase the word "progress" from our vocabulary
 
Sijui kwa nini mnaona Dar ndio Tanzania? Huko mnafikiria magorofa wakati makao makuu ya nchi hawana hata unga wa dona wanakula viwavi jeshi?! Mahaba ya kijinga kweli kweli haya.
 
Back
Top Bottom