Rais Magufuli kufungua Soko Kuu Mkoani Morogoro Leo Februari 11, 2021

Matumizi mabovu ya fedha za umma,

Hilo soko mkuu wa mkoa anatosha kabisa kulifungua
 
Tutawaletea matangazo ya moja kwa moja wakati wa uzinduzi huo utakaofanywa na Mhesh Rais Dkt John Pombe Magufuli

Tafadhali mtaarifu mwenzako & usikose kufuatilia shughili hii muhimu kitaifa

Source: DPC Gerson Msigwa
Hivi Waziri au Mkuu wa Mkoa hawezi kulifungua soko hili, yeye Rais kuja kulifungua ni gharama sana kuanzia ulinzi hadi usafiri hatuoni haya kuwa ni gharama sana kwa nchi?
 
Akitoka hapo apitie kituo cha mabasi Luis toka aagize kianze kutumika mwaka Jana hadi Leo miezi 3 akijaanza....tetesi pia kituo ubora wake wakutilia shaka..
 
Anajaribu kujiongezea mvuto mbele ya wananchi waliomkataa na kutafuta justfication ya kujiongezea muda madarakani
Kimsingi huyu mzee amepoteza mvuto kwa kiwango cha ajabu! Hadi ifike hiyo 2025, kuna baadhi ya Wananchi watakuwa wanapata hata maumivu ya kichwa kwa kulisikia tu jina lake likitajwa mahali.
 
Back
Top Bottom