Rais Magufuli kufungua Soko Kuu Mkoani Morogoro Leo Februari 11, 2021

sijaelewa mpaka leo, kwanini biashara za sokoni huwa zinakuwa na washirikina sana. hakuna ambaye sio mshirikina kwenye hayo masoko ya miji.
 
Korona haichagui dadadeki,

Imechomoa uhai waimba pambio kibao tu.

Kuna jamaa yangu hapa alikuwa mpiga pambio sana , corona imegonga wale close wake wawili mpaka sasa,, sisikii tena zile pambio.
Sijui yaliyo moyoni mwake kwa sasa.
 
Back
Top Bottom