Mpunilevel
JF-Expert Member
- Sep 14, 2015
- 3,140
- 1,871
Mheshimiwa Rais Magufuli kauli hii kwa upande wangu nimeipenda sana, kwani ifike mahala kama nchi lazima tuwe na msimamo kuhusu mstakabali wa nchi yetu.
Mkuu Rais msimamo ndo utatufikisha tunapopataka. Ikiwa sisi ni wakubadilika badilika kama kinyonga hatuwezi kufikia malengo tuliyojiwekea.
Maamuzi yetu lazima yaheshimiwe. Pia suala la utalii duniani linachagizwa na mambo mengi, ikiwamo vivutio unique, usalama, huduma zipatikanazo kwa tourist's, etc
Kama hutozi VAT, na haya baadhi niliyotaja hayapo nchini kupata watalii wengi ni ndoto. Tuboreshe hayo niliyotaja watakuja tu na si kwamba VAT itakimbiza Watalii. Siamini kwenye hilo.
Makampuni mengi hupenda ku challenge msimamo wa serikali Kujua imelalia wapi.
Mwisho kama VAT haiathiri faida ya wawekezaji wa Makampuni ya utalii na serikali kupata chake, basi ilipwe tu. Ni bora wachache wakalipa kuliko wengi kwa figers,uhalisia wa mapato hayaendani.
Ni maoni yangu, yaheshimiwe, pia nikosolewe na nipingwe kwa staha, na wajuzi wa taaluma hii.
Nawasilisha