King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 51,697
- 68,682
Mnazi Mmoja na Kisutu ndio zilikuwa STAND KUU za Mabasi ya Kwenda MKOANI.Bustani za Mnazi mmoja ziwe wazi kwa wote kwa maana zilijengwa kwa lengo hilo na siyo kwa ajili ya matamasha.
Na hoja mfilisi kwamba sisi ni wachafu na tutakunya humo siyo ya kweli, hiyo ni enzi ya Nyerere na chuki yake dhidi yetu ndiye aliyefunga hiyo Bustani eti sisi ni wachafu, mbona Mwendokasi mlisema tutang’oa viti lkn hatujang’oa?
Tufungulie Bustani yetu, ulitutetea kuzuia Coco beach yetu isiuzwe, sasa zamu ya Bustani yetu Mnazi mmoja, Piga Vita Chuki tuliolelewa nayo dhidi yetu, ...