Rais Magufuli kama kweli unatujali walalahoi tufungulie hili geti!

Barbarosa

JF-Expert Member
Apr 16, 2015
22,584
27,782
Bustani za Mnazi mmoja ziwe wazi kwa wote kwa maana zilijengwa kwa lengo hilo na siyo kwa ajili ya matamasha.

Na hoja mfilisi kwamba sisi ni wachafu na tutakunya humo siyo ya kweli, hiyo ni enzi ya Nyerere na chuki yake dhidi yetu ndiye aliyefunga hiyo Bustani eti sisi ni wachafu, mbona Mwendokasi mlisema tutang’oa viti lkn hatujang’oa?

Tufungulie Bustani yetu, ulitutetea kuzuia Coco beach yetu isiuzwe, sasa zamu ya Bustani yetu Mnazi mmoja, Piga Vita Chuki tuliolelewa nayo dhidi yetu, ...
 
'Kama kweli anatujali' kumbe huna uhakika kama anajali ni dalili za kutomwamini.

Nikukumbushe tu enzi za Nyerere hadi mwishoni mwa enzi za Mkapa Mnazimmoja ilikuwa wazi tulikuwa tunapumzika hapo na matukio mengi yalifanyika hapo, nakumbuka kwa tusiokuwa na TV tulikuwa tunawekewa TV kubwa kama sikosei na kituo cha ITV kuonyesha matukio ya kitaifa ikiwemo michuano ya World Cup hata msiba wa Baba wa Taifa ulikuwa ukionyeshwa pale usiku kucha, hata Mrema alipofukuzwa bungeni Dodoma alifanyia mkutano wake Mnazimmoja, uzio ulijengwa mwishoni mwa enzi za Mkapa, Kikwete kaja kuweka mageti.
 
'Kama kweli anatujali' kumbe huna uhakika kama anajali ni dalili za kutomwamini.

Nikukumbushe tu enzi za Nyerere hadi mwishoni mwa enzi za Mkapa Mnazimmoja ilikuwa wazi tulikuwa tunapumzika hapo na matukio mengi yalifanyika hapo, nakumbuka kwa tusiokuwa na TV tulikuwa tunawekewa TV kubwa kama sikosei na kituo cha ITV kuonyesha matukio ya kitaifa ikiwemo michuano ya World Cup, hata Mrema alipofukuzwa bungeni Dodoma alifanyia mkutano wake Mnazimmoja, uzio ulijengwa mwishoni mwa enzi za Mkapa, Kikwete kaja kuweka mageti.

Sijawahi kuona hiyo bustani ikiwa wazi maisha yangu yote, kwanza hata viwanja vya gymkana vilikuwa kwa ajili yetu kupumzika, akapewa Muzungu achezee golf na kuweka uzio.
 
Kwa kweli mkuu mimi ni shahidi, watu walikuwa wakinya ndani ya ile bustani. Tuache uchafu ili tuweze kuzitumia bustani zetu
Kufunga ukumbi kwa vile watu wanakunya ndani ni uzembe wa watendaji waliopewa jukumu la kusimamia, polisi wapo, mgambo wapo, polisi jamii ipo, wanashindwa hata kuajiri kampuni ya ulinzi wakaacha watu wapumzike. Vituo vya mabasi vipo wazi hatuoni watu wakinya hovyo, kinachotakiwa ni kuwa na huduma nyingi za vyoo pale na watu waelekezwe huku kukiwa na ulinzi imara.

Mbona watu hawanyi hovyo uwanja wa Taifa au uwanja wa ndege.
 
Sijawahi kuona hiyo bustani ikiwa wazi maisha yangu yote, kwanza hata viwanja vya gymkana vilikuwa kwa ajili yetu kupumzika, akapewa Muzungu achezee golf na kuweka uzio.
Barbarosa, ungewezaje wakati umri wako Dar es Salaam ni mfupi kuliko U RC wa Makonda
 
Sijawahi kuona hiyo bustani ikiwa wazi maisha yangu yote, kwanza hata viwanja vya gymkana vilikuwa kwa ajili yetu kupumzika, akapewa Muzungu achezee golf na kuweka uzio.
Pole fuatilia historia yake, wengine tumecheza sana pale, miaka ya 80/90 kwa pembeni kilikuwepo kituo cha mabasi ya kwenda nyada za juu kusini, Mbeya, Iringa, Sumbawanga, Njombe nk
 
Huwezi kujua lolote about Tz

Those time ulikuwa Gisenyi mnachinjana kama kuku
BTW bado hutaki kurudi kwenu au tukurudishe kwa nguvu
Sijawahi kuona hiyo bustani ikiwa wazi maisha yangu yote, kwanza hata viwanja vya gymkana vilikuwa kwa ajili yetu kupumzika, akapewa Muzungu achezee golf na kuweka uzio.
 
Huwezi kujua lolote about Tz

Those time ulikuwa Gisenyi mnachinjana kama kuku
BTW bado hutaki kurudi kwenu au tukurudishe kwa nguvu

Utaanza kurudi wewe kwenu Migombani kunywa Machicha waliobakiza wanaokumiliki.
 
12 Reactions
Reply
Back
Top Bottom