Rais Magufuli kafanikiwa kudhibiti Maandamano na migomo iliyokuwa fasheni ya huko tulikotoka

namkumbuka yule Kijana muuza magazeti alivyokufa kwenye maandamano Moro, bora kwa sasa amani imetawala
 
Kwa hiyo kuipinga katiba ndio kufanikiwa maana mahandamano na mikutano ya siasa ni haki ya kikatiba
 
Mbona husemi alivyofanikiwa kumnyamazisha Kinana na huku akiwa busy kumtafuta mkolomije amiliki nafasi hiyo!

Wakati Rais Magufuli anatoa kauli hii, wapo waliobeza wakidhani kuwa haitekelezeki. Hata hivyo, hadi sasa ukweli ni kwamba Rais Magufuli kafanikiwa kudhibiti maandamano na migomo nchi nzima. Ukiona maandamano basi ujue ni ya kuunga mkono juhudi zake anazofanya kuwaletea maendeleo wananchi. Hakuna mtutu wa bunduki wala virungu vilivyotumika kuzima migomo na maandamano. Ni mikwara yake tu pamoja na kushungulikia chanzo cha migomo na maandamano hayo.

Hongera Rais Magufuli. Kwa hili umeinyoosha nchi.
 
mtoa post unaona maandamano na migomo ni jinai hutambui kwamba ipo kwenye katiba na sheria. hata sharia ya kazi na mahusiano kazini inaruhusu migomo. sema maandamano na migomo yenye sura hasi kwa CCM na serikali
 
Josephine Mushumbusi naye alimwaga damu yake maandamano Arusha ila chadema wanamtukana mpaka matusi ya aibu sasa hivi, jpm komaa hapohapo
 
Wakati Rais Magufuli anatoa kauli hii, wapo waliobeza wakidhani kuwa haitekelezeki. Hata hivyo, hadi sasa ukweli ni kwamba Rais Magufuli kafanikiwa kudhibiti maandamano na migomo nchi nzima. Ukiona maandamano basi ujue ni ya kuunga mkono juhudi zake anazofanya kuwaletea maendeleo wananchi. Hakuna mtutu wa bunduki wala virungu vilivyotumika kuzima migomo na maandamano. Ni mikwara yake tu pamoja na kushungulikia chanzo cha migomo na maandamano hayo.

Hongera Rais Magufuli. Kwa hili umeinyoosha nchi.
Uzi wa kichochezi per se...
 
Nimesoma lakini nimeamua nitafute dhima na Maudhui ya Uzi huu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bado tuna safari ndefu sana..mambo kama haya walikuwa wanafanya watumwa enzi zile za Farao hah hah
 
HIVIII .. hata mie hapa mmenikamua kodi ya mjengo huu 15,000/=
muogopeni MOLA MAULANA!!
Hamuwezi kufanikiwa kwa kukusanya kodi za namna hii kama mmeshindwa kukusanya za MAKINIKIA
02.jpg
Acha propoganda za kijinga, hazikusaidii chochote. Pambana na hali yako kiuhalisia, acha mambo ya kupika.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom