Rais Magufuli, Ikulu umeshaijua milango yote toka sasa

Atoke tu hata kama hakuna sababu ya kutoka?akitoka mtaanza tena kusema anatoka sana.....ubinadamu kazi sana.
 
Atoke tu kiukweli bajeti haitoshelezi na wala haitekelezeki kwa miradi ya maendeleo na hakuna mpango mpya wa vyanzo vya mapato!
 
Amani kwenu wadau

Tangu rais wetu ma JMT alipokabidhiwa madaraka hajatoka kwenda safari ya umbali mrefu zaidi ya nchi jirani za ukanda wetu huu.

Ninalo muomba rais atoke aende nchi za nje kama mwenyewe alivyo jipambanua si muoga wala hana aibu ifikapo muda wa kuomba

Mara ya kwanza nilitegemea ile pin yako ya safari za nje na wewe mwenyewe inakubana lakini si hivyo na kama ilikuwa unataka kuijua milango yote ya ikulu tayari ushaifahamu ni miaka miwili na nusu fanya utoke,

Nenda kawaeleze wazungu uchumi wa tanzania umekuwa kwa 7%,nenda kawaeleze demokrasia inazidi kustawi,uhuru wa habari,uhuru wa kujieleza,vita ya ugaidi na madawa ya kulevya vyote umefanya vizuri waambie elimu bure,afya,maji,umeme,na kama ilivyo ada na miundo mbinu na umedhibiti vyema suala la rushwa na ufisadi na serikali yako ni ya kidemokrasia umeteua mpaka wapinzani na unasimamia vyema rasilimali za nchi kama ulivyo onyesha uzalendo kwenye mchanga wa madini

Na uwaombe waje wawekeze katika miradi mikubwa ya viwanda kama dhumuni la serikali yako lilivyo imetosha rais kuona wale viongozi wote wanaokuja hapa kwetu uwezo wa ni kama wetu hivyo hawaleti tija na hawana ushawishi

Ni hayo ndugu rais labda nichukue nafasi kukupongeza kumteua mama mghwira kuwa Rc mpya

Najua wewe ni msikivu na sio mbishi kufuata ushauri kama ulivofuata ushauri wa tume ya mashobo!

Akhsante!

Unamsaidia kuota ndoto
 
Kwani wote wajao hapa na kwengineko hawana mabalozi!

Sikiliza dogo, kutokuwa na nywele kichwani si kama hauna akili hata kidogo. Yakubidi uelewe kwamba kuna priorities. You don't just go nje ili ufurahishe watu au nafsi kama alivyokuwa Kikwete akifanya. There's no need kwenda nje kama una kazi za kufanya ndani ya nchi yako. Balozi zetu ziko kule for a reason ya kumuwakilisha rais kama ulikuwa hujuwi. Narudia tena, kuwa na hiko kipara chako isiwe sababu kuwa hauna akili kisa hauna nywele....Mh. rais wetu ana kazi nzito ya kufanya hapa nchini, wewe unataka asafiri kwa matakwa yako, ili iweje? Kikwete alishindwa kukaa nchini mkampigia kelele kwanini anapanga chumba angani wakati nchi anayo, hivi...mtaacha lini kulalama?
 
Nenda kawaeleze wazungu uchumi wa tanzania umekuwa kwa 7%,nenda kawaeleze demokrasia inazidi kustawi,uhuru wa habari,uhuru wa kujieleza,vita ya ugaidi na madawa ya kulevya vyote umefanya vizuri waambie elimu bure,afya,maji,umeme,na kama ilivyo ada na miundo mbinu na umedhibiti vyema suala la rushwa na ufisadi na serikali yako ni ya kidemokrasia umeteua mpaka wapinzani na unasimamia vyema rasilimali za nchi kama ulivyo onyesha uzalendo kwenye mchanga wa madini
dunia ni kijiji,wanazo habari zote hizo
 
Amani kwenu wadau

Tangu rais wetu ma JMT alipokabidhiwa madaraka hajatoka kwenda safari ya umbali mrefu zaidi ya nchi jirani za ukanda wetu huu.

Ninalo muomba rais atoke aende nchi za nje kama mwenyewe alivyo jipambanua si muoga wala hana aibu ifikapo muda wa kuomba

Mara ya kwanza nilitegemea ile pin yako ya safari za nje na wewe mwenyewe inakubana lakini si hivyo na kama ilikuwa unataka kuijua milango yote ya ikulu tayari ushaifahamu ni miaka miwili na nusu fanya utoke,

Nenda kawaeleze wazungu uchumi wa tanzania umekuwa kwa 7%,nenda kawaeleze demokrasia inazidi kustawi,uhuru wa habari,uhuru wa kujieleza,vita ya ugaidi na madawa ya kulevya vyote umefanya vizuri waambie elimu bure,afya,maji,umeme,na kama ilivyo ada na miundo mbinu na umedhibiti vyema suala la rushwa na ufisadi na serikali yako ni ya kidemokrasia umeteua mpaka wapinzani na unasimamia vyema rasilimali za nchi kama ulivyo onyesha uzalendo kwenye mchanga wa madini

Na uwaombe waje wawekeze katika miradi mikubwa ya viwanda kama dhumuni la serikali yako lilivyo imetosha rais kuona wale viongozi wote wanaokuja hapa kwetu uwezo wa ni kama wetu hivyo hawaleti tija na hawana ushawishi

Ni hayo ndugu rais labda nichukue nafasi kukupongeza kumteua mama mghwira kuwa Rc mpya

Najua wewe ni msikivu na sio mbishi kufuata ushauri kama ulivofuata ushauri wa tume ya mashobo!

Akhsante!
mkuu umenena vyema kabisa mambo haya aliyoyafanya rais wako magufuli LAKINI hii ni REPORT kwa watanzania ifikapo 2020 na sio report kwa wazungu kwa kuwa Watanzania ndio waliomchagua awatumikie na sio wazungu.
Hoja ya kwamba magu hajui lugha ni DHAIFU SANA na hoja pia kuwa wageni wanaokuja hawana tija ni dhaifu pia.
ikumbukwe:MWENYE NYUMBA HAUBAGUI WAGENI ATAKAYEKUJA NA DONA,SEMBE,CHUMVI NA HATA UDUVI WATAPOKELEWA TU.
MWACHE MSEMA KWELI ATUONGOPEE ONGEZEKO LA UKUAJI WA UCHUMI ILI MUNGU AMPENDE.
 
Eti raisi wetu wewe na nani?sema kwa manufaa yako.mimi huyo sio rais wangu.namtambua lowassa.

Swissme

Nadhani utakuwa umepungua uzito zaidi ya 10kgs tangia 2015 hadi sasa. Na usipobadilisha msimo wa kumtambua jpm kama Raisi wa jamhuri ya muungano wa Tanzania muungano ambao nawe ni mwananchi wa muungano huo kufia 2018 utakuwa uanasumbuliwa na maradhi mawili makuu vidonda vya tumbo na high blood pressure.
 
Eti raisi wetu wewe na nani?sema kwa manufaa yako.mimi huyo sio rais wangu.namtambua lowassa.

Swissme
Proudly nasema he is not my president na afadhali sura yake haipo kwenye mkwanja sjui tungezishikaje abakie tu magogoni anamaliza mda wake less than three then tuishi jamani ....
 
Back
Top Bottom