SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 50,081
- 75,445
Unajidhalilisha sana.Hizi porojo tu
We baki kwa mabeberu Siku ukirudi uanzie kushangaa terminal three Mambo yalivyopendeza

Yep brother it ought me soMy Son Drink beer you nailed it all
Hujajibu hoja ya mada mkuu, sasa kwa nini Rais anawatishia wakuu wa mikoa?Kwanza unatakiwa kujua kuwa wizara ambayo inashughulikia Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa iko kwenye ofisi ya Rais. Kwa maana nyingine, Boss wa Serikali za Mitaa ni Rais.
Pili, Mchakato wa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa iko mikononi mwa Ofisi ya Rais.
Rais alichofanya ni kutimiza majukumu ya Ofisi kama ambavyo kanuni za utumishi zinavyomtaka.
Kwa upande wa kisiasa, Rais Magufuli na CCM hawana hasara yoyote kama watu wengi hawatajitokeza kwenda kupiga kura kwa sababu haiwaathiri katika majukumu yao ya kitaifa kwa sababu tatizo la political legitimacy lipo tokea mwaka 1995.
Kutojitokeza watu wengi kwenda kujiandikisha ni pigo kwa upinzani ambao unategemea nguvu ya madaraka kupitia sanduku la kura!
Haina mjadala kuwa watawala wa nchi za kiafrika huhofia sana wanapoona wananchi wengi wanakuwa na mwamko wa kutaka kupiga kura kwa sababu hii inayonyesha wanataka mabadiliko.
Jaribu kuangalia utagundua kuwa CCM walipata msukosuko katika chaguzi mbali mbali kutokana na wananchi wengi kujitokeza kupiga kura.
Nihitimishe kwa kusema, Watu wengi kutojitokeza kwenda kujiandikisha ni sherehe kwa serikali iliyoko madarakani (CCM) na kilio kwa wale wanataka kuingia madarakani (Wapinzani).
Maisha ya kishetani yapo Tanzania, huku ni pepo ya Dunia, Kila kitu kipo unachokitaka hapa DunianiHata nikitoka lazima niwe na return ticket
Siwezi kuishi kwa mabeberu Mimi
Kule ni kuzuri kwa mazingira ya nje tu lkn maisha ya kishetani mno
Katika watu wa kuonea huruma ni hiyo taka Mikocheni Junction. Nadhani hata anayemuwakilisha anajutia kumpa nafasi kiaziHiyo takataka inayovuja ndio ya kushangaa ?? Ushawahi kutoka nje wewe takataka??
Hii ni Serkali yenye viongozi wasio na akili kama wewe maana viongozi wenye akili na bora watasononeka sana wapigakura wengi wasipojitokeza kuwapigia kura kwa sababu yoyote ile. Wapiga kura wachache ni ujumbe kuwa waliopo madarakani hakubaliki na wananchi maana hawafai na matokeo yake ni mabaya sana.Kwanza unatakiwa kujua kuwa wizara ambayo inashughulikia Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa iko kwenye ofisi ya Rais. Kwa maana nyingine, Boss wa Serikali za Mitaa ni Rais.
Pili, Mchakato wa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa iko mikononi mwa Ofisi ya Rais.
Rais alichofanya ni kutimiza majukumu ya Ofisi kama ambavyo kanuni za utumishi zinavyomtaka.
Kwa upande wa kisiasa, Rais Magufuli na CCM hawana hasara yoyote kama watu wengi hawatajitokeza kwenda kupiga kura kwa sababu haiwaathiri katika majukumu yao ya kitaifa kwa sababu tatizo la political legitimacy lipo tokea mwaka 1995.
Kutojitokeza watu wengi kwenda kujiandikisha ni pigo kwa upinzani ambao unategemea nguvu ya madaraka kupitia sanduku la kura!
Haina mjadala kuwa watawala wa nchi za kiafrika huhofia sana wanapoona wananchi wengi wanakuwa na mwamko wa kutaka kupiga kura kwa sababu hii inayonyesha wanataka mabadiliko.
Jaribu kuangalia utagundua kuwa CCM walipata msukosuko katika chaguzi mbali mbali kutokana na wananchi wengi kujitokeza kupiga kura.
Nihitimishe kwa kusema, Watu wengi kutojitokeza kwenda kujiandikisha ni sherehe kwa serikali iliyoko madarakani (CCM) na kilio kwa wale wanataka kuingia madarakani (Wapinzani).
Huyu magufuli reasoning yake anaijua yeye mwenyewe,tunaambiwa anapendwa sana,tunaambiwa amefanya maendeleo ambayo kwa miaka mingi ya uhuru hatukuwahi kuyapata,sasa inakuwaje watanzania hawayaoni amejitahidi kuwa live every day for 4 good years lakini hola,angekuwa na akili huu ndo ulikuwa muda mzuri kwa yeye kujitafakari Ila kwa kuwa hana acha aendelee kutumia nguvu,The only thing naomba nimkumbushe ni kwamba unaweza kumlazimisha punda kwenda mtoni Ila huwezi kumlazimisha kunywa maji,Kwa Hisani ya my son drink waterPamoja na kwamba ninaishi Australia, lakini wewe bado ni Rais wangu tu ,nipo hapa Australia kimwili tu, lakini kiroho nipo Tanzania.
Rais wangu, hata wewe huwa unasema kwamba "msema kweli ni mpenzi wa Mungu ".
Basi acha na mimi niseme kweli sasa ,Rais wangu Magufuli umezungukwa na kundi la watu wa ajabu kupindukia.
Urais ni taasisi, wewe Kama mkuu wa nchi umezungukwa na watu wa Kila aina, lakini kwanini yote haya yanatokea?
Wataalamu wa uchumi wapo tu wanaangalia? Wataalamu wa siasa na Diplomasia za kimataifa nao wapo tu wanaangalia?
Au pengine tatizo ni wewe labda hushauriki na sasa wameamua ni bora wakae kimya siku ziende.
Nina mengi ya kukueleza ila kwa leo nijikite tu na uchaguzi wa serikali za mitaa, uchaguzi ambao wananchi wengi wameonekana kuususia na baada ya hapo wewe umeamua kuwabebesha msalaba wakuu wa mikoa kwamba kwanini watu hawajiandikishi ili kupiga kura.
Rais wangu, unataka wakuu wa mikoa wafanye nini juu ya hili? kwamba wananchi wakamatwe kisha wakajiandikishe na kupiga kura?..
Au wakuu wa mikoa waitishe mikutano kuwasihi na kuwabembeleza wananchi ili wajitokeze kupiga kura?
Wakuu wa mikoa wafanye nini ktk hili?
Umesema kwamba utawawajibisha endapo ktk mikoa yao wananchi hawatakuwa na mwitikio.
Hapa ndipo nimelazimika kukueleza Rais wangu uikimbie hasira ya Mungu.
Bahati mbaya zaidi, taifa la Tanzania halina watumishi shupavu wa Mungu, wanaoweza kusimamia kweli ya Mungu, nao wameingia Kwenye kundi la kusifia tu, hapana kukosoa.
Rais wangu, wewe ndo chanzo cha wananchi kukosa ari ya kushiriki uchaguzi, kauli zako huwa zinaegemea upande wa CCM tu na ni kauli za kibaguzi kabisa.
Hizi ni baadhi ya kauli zako za kibaguzi...
1."Ninakulipa mshahara, nimekupa gari halafu unatangaza mpinzani kashinda ".
2."Ole wake yoyote atakayempiga mtu aliyevaa kijani(CCM)
(Hapa ulipaswa kusema, Ole wake yoyote atakayempiga mtanzania)
3.CCM itatawala milele (Hakuna atawalaye milele zaidi ya Mungu)
Kwa kauli Kama hizo ,watu wameona kuwa wanapoteza muda bure kwa sababu washindi wanajulikana .
Rais wangu, ktk hilo wakuu wa mikoa watafanyeje ?.
Tenda haki ili uweze kujitenga na ghadhabu Mungu.
ccm wanapenda masikini ambao the only reference they have ni kile wanachokiona machoni mwao na wanachoambiwa na viongozi wao.Pale lilongwe malawi imejenga pia terminal two mwenye uwanja wa Kamuzu but still wamalawi wanaharakati za kumng'oa APM,with their less exposure huwadanganyi kwa vitu vidogo vidogo like airport terminal na ndegeHizi porojo tu
We baki kwa mabeberu Siku ukirudi uanzie kushangaa terminal three Mambo yalivyopendeza
Kazi za Kikwete hizoHizi porojo tu
We baki kwa mabeberu Siku ukirudi uanzie kushangaa terminal three Mambo yalivyopendeza
Pamoja na kwamba ninaishi Australia, lakini wewe bado ni Rais wangu tu ,nipo hapa Australia kimwili tu, lakini kiroho nipo Tanzania.
Rais wangu, hata wewe huwa unasema kwamba "msema kweli ni mpenzi wa Mungu ".
Basi acha na mimi niseme kweli sasa ,Rais wangu Magufuli umezungukwa na kundi la watu wa ajabu kupindukia.
Urais ni taasisi, wewe Kama mkuu wa nchi umezungukwa na watu wa Kila aina, lakini kwanini yote haya yanatokea?
Wataalamu wa uchumi wapo tu wanaangalia? Wataalamu wa siasa na Diplomasia za kimataifa nao wapo tu wanaangalia?
Au pengine tatizo ni wewe labda hushauriki na sasa wameamua ni bora wakae kimya siku ziende.
Nina mengi ya kukueleza ila kwa leo nijikite tu na uchaguzi wa serikali za mitaa, uchaguzi ambao wananchi wengi wameonekana kuususia na baada ya hapo wewe umeamua kuwabebesha msalaba wakuu wa mikoa kwamba kwanini watu hawajiandikishi ili kupiga kura.
Rais wangu, unataka wakuu wa mikoa wafanye nini juu ya hili? kwamba wananchi wakamatwe kisha wakajiandikishe na kupiga kura?..
Au wakuu wa mikoa waitishe mikutano kuwasihi na kuwabembeleza wananchi ili wajitokeze kupiga kura?
Wakuu wa mikoa wafanye nini ktk hili?
Umesema kwamba utawawajibisha endapo ktk mikoa yao wananchi hawatakuwa na mwitikio.
Hapa ndipo nimelazimika kukueleza Rais wangu uikimbie hasira ya Mungu.
Bahati mbaya zaidi, taifa la Tanzania halina watumishi shupavu wa Mungu, wanaoweza kusimamia kweli ya Mungu, nao wameingia Kwenye kundi la kusifia tu, hapana kukosoa.
Rais wangu, wewe ndo chanzo cha wananchi kukosa ari ya kushiriki uchaguzi, kauli zako huwa zinaegemea upande wa CCM tu na ni kauli za kibaguzi kabisa.
Hizi ni baadhi ya kauli zako za kibaguzi...
1."Ninakulipa mshahara, nimekupa gari halafu unatangaza mpinzani kashinda ".
2."Ole wake yoyote atakayempiga mtu aliyevaa kijani(CCM)
(Hapa ulipaswa kusema, Ole wake yoyote atakayempiga mtanzania)
3.CCM itatawala milele (Hakuna atawalaye milele zaidi ya Mungu)
Kwa kauli Kama hizo ,watu wameona kuwa wanapoteza muda bure kwa sababu washindi wanajulikana .
Rais wangu, ktk hilo wakuu wa mikoa watafanyeje ?.
Tenda haki ili uweze kujitenga na ghadhabu Mungu.
Wasukuma ni shopaholic kiasili..Ndio maana raisi Magufuli anajisikia fahari sana akinunua...Wapinzani wanakufa hajawahi kusema kitu..hata ajenge nini..damu isiyo na hatia inamlilia kondeniMkuu Your Son Drink Water, kwa vile adhabu huletwa na karma, akitenda uovu na mabaya, atalipwa majanga, na akitenda wema, atalipwa neema na mafanikio, then ni binadamu na sio malaika, mema yake ni mengi kuliko mabaya yake, hivyo mema yakizidi mabaya, hivyo licha ya mabaya ulioorodhesha, lakini kwa mema yake ambayo ni mengi kuliko mabaya, then rais Magufuli atabarikiwa na Tanzania itabarikiwa.
P
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji28][emoji23][emoji23][emoji23] MKUU wa mkoa wetu ye ata aanze tu kupaki!
Hali si hali uboreshaji wa daftari la wapiga kura.
Nipo countryside huku watu hawana mwamko, mabalozi wa nyumba kumi (CCM) wenyeviti wa vitongoji na wenyeviti wa vijiji wanapita kuhamasisha ila watu hawataki, kuna bibi ni CCM damu damu ila amesikika akisema, namnukuu "nani aende kupoteza muda wake, viongozi tunaowataka mnawakatalia mbali kwa kuwaibia kura au kuwapoteza"
Shime tujitokeze kujiandikisha, maana tusipojiandikisha twajikomoa wenyewe, hatumkomoi yeyote yule.
Kupiga kura ni muhimu na kunampa mtu haki ya kuamua kuchagua mtu sahihi hata kama hatochaguliwa
Ukweli gani? Kuwa Jiwe siyo muuaji? Tafuta kitabu cha Ludovick Mwijage kiitwacho Julius K Nyerere, A servant of God or Untarnished tyrant ukisome ndio utajua kuwa kama Nyerere alifanya maovu hayo, basi Jiwe amewazidi wauaji wote africa , may be na dunia!uoneUnafurahisha roho yako wakati ukweli upo palepale! Hii Kimakonde tunaita placebo effect!
CUF Zanzibar walinyang'anywa ushindi kisa eti mawakala wamevua mashati! Hata hivyo kura yangu siyo haki yangu, ni haki ya CCM.Kwanza unatakiwa kujua kuwa wizara ambayo inashughulikia Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa iko kwenye ofisi ya Rais. Kwa maana nyingine, Boss wa Serikali za Mitaa ni Rais.