Rais Magufuli huwa anaangalia Bunge kupitia chaneli gani?

Waziri kivuli

JF-Expert Member
Nov 30, 2016
2,987
3,450
Katika hotuba yake wakati wa kuapisha walioteuliwa,JPM alisema huwa anafuatilia mijadala ya wabunge hasa wa CCM!

Nijuavyo kipindi cha maswali na majibu ndio huwa kinakuwa live, baada ya hapo matangazo yanazimwa! Najiuliza kama ni kweli kauli yake kuwa huwa anafuatilia mijadala ya Bunge, huwa anatune channel gani?

Pia nikawaza, iweje atunyime wananchi kuangalia Bunge huku yeye akilitizama???
 
Bunge wamefunga mitambo maalumu ambayo hurekodi shughuli zake zote. Rais hurushiwa moja kwa moja (mubashara).

Habari ndiyo hiyo.
 
Live stream kutoka bungeni hadi kibandani, kiganjani mwake /ikulu.
 
Hata marehemu Baba wa taifa alikua anangalia CNN ikulu huku watanzania enzi hizo hatuna TV
 
anasumbuliwa na uwezo wake mdogo wa uteuzi wa maneno. hajui azungumze nini? wapi na juu ya nini?
 
Nami nilijiuliza nikakosa majibu. Nikaenda mbali kumbe naye hupenda kufuatilia mijadala? Kwani hana kazi za kufanya?

Hiyo ni moja ya kazi zake. Wewe na mimi ndo tunatakiwa tukafanye kazi tofauti. Inaelekea ana chaneli yake maalumu
 
Back
Top Bottom