Barya
JF-Expert Member
- May 5, 2012
- 950
- 1,190
Maskini ya mungu babu seyaKumbuka kuwa wengi waliopo magerezani si wahalifu
Maskini ya mungu babu seyaKumbuka kuwa wengi waliopo magerezani si wahalifu
Na ndo nilikuwa nawaza hivyo, hivi walishindwaje kukimbia?Hao Wafungwa wapuuzi kweli, linatokea Tetemeko Kuta za Magereza zinabomoka bado tu mnaendelea kuwa wafungwa? Acha wajenge tu!
Wangetorokaje mchana kweupe na tetemeko lilichukua chini ya dk moja, Ingelikuwa ni usiku hapo sawa.Hao Wafungwa wapuuzi kweli, linatokea Tetemeko Kuta za Magereza zinabomoka bado tu mnaendelea kuwa wafungwa? Acha wajenge tu!
Acha kutetea ujinga.hela zilizochangwa zinatosha kabisaa.UK wametoa bilioni 6.acha hao wengine.hzo hela zimeenda wapi?acha kuwa mpumbavu.Kumekuchaaaaaaaaa!!!Labda wazo la Rais ni kuwa pesa hizo ziwaendee wale wenye uhitaji na wasio na uwezo hata wa kujisaidia,lkn wale wafungwa wana nguvu kazi na ujuzi wa kutosha kuweza kujijengea magereza wenyewe
Sasa mk mifuko ya cement na nondo navyo watalima bila kupewa msaada, juma bhana co vizur, wafungwa wapewe msaada wa vifaa vya ujenz halafu wajenge wenyewe, kwan waliwaambieni wanataka muwapelekee na mafundi wa kuwajengea? Vifaa tu ndo vinahitajika.Hapa nakuunga mkono 100% percent hatuwezi kulisha watu wahalifu ....
Na tuwajengee pa kulala wana uwezo wa kufanya hivyo hata chakula walitakiwa walime chao sio kulia lia budget......
Kwake wafungwa sio wahanga.....Huyu jamaa ni zaidi ya bulldozer! Hiyo sio kauli ya kuwafariji wahanga wa tetemeko.
Wewe akili hauna.wale wafungwa ni binadamu kama wewe.na wanaitaji kusaidiwa kwa kesi kama hyo ya tetemeko.hawakupenda.itokee.na kujenga gereza hyo sio kazi yao.tumia akili yako vizuri.Nchi kama China, Vietnam, Russia, wafungwa ndo wanaofanya kazi hakuna kutegemea serikali kwa kila jambo
Hata hapa Tanzania miaka ya nyuma magereza kama kitengure , lilikuwa linazalisha chakula mpaka cha kuuza kupata hela , wana ng'ombe zaidi ya elfu 5 wana mifuko yao ya kuendesha shughuli zao, na mambo mbali mbali hivyo wajenge wao, na cement wanunue wenyewe,
Unamaanisha wafungwa hewa au?tunafanya uhakiki mkuu
Hapana mh. Rais hajafanya vyema. Alitakiwa kujua Magereza wafungwa ni nguvu kazi tu lakini vifaa na material mengine ya ujenzi yanatakiwa na hupatikana kwa fedha na si vinginevyo. Magereza hutegemea ruzuku kutoka Serikalini. Bado nasisitiza Serikali wawapatie fedha wajenge Gereza Kitengule.Kumekuchaaaaaaaaa!!!Labda wazo la Rais ni kuwa pesa hizo ziwaendee wale wenye uhitaji na wasio na uwezo hata wa kujisaidia,lkn wale wafungwa wana nguvu kazi na ujuzi wa kutosha kuweza kujijengea magereza wenyewe
Cement nondo nk watapata wapiKumekuchaaaaaaaaa!!!Labda wazo la Rais ni kuwa pesa hizo ziwaendee wale wenye uhitaji na wasio na uwezo hata wa kujisaidia,lkn wale wafungwa wana nguvu kazi na ujuzi wa kutosha kuweza kujijengea magereza wenyewe
Ni mambo ya kuudhi tu..eti watumie nguvu...sasa sijui nguvu pekee zinazalisha tofali?ingekuwa hivyo wabeba vyuma wote wangekuwa na magorofa.Cement nondo nk watapata wapi
Mungu ndo anajua hatma ya kila mja...hata ufanye nini kama Mungu akiwa upande wako jela inakukwepa..Jichunge usije Ukawa mfungwa hata kesho. Wale maboss kule Bkb walijua wataamkia mahabusu ?!.