Rais Magufuli: Hakuna fedha za tetemeko kwenda Magereza. Wafungwa "watetemeke" kujenga magereza yao

mkuu wa gereza..
ujumbe huo, wafungwe wajitetemeshe kuijengea serikali jengo lake..
kaz kwel kwel..
 
Mi nashangaa sana.yeye amekataa kutoa hela.watu wametoa msaada bhado anakatazia.wafungwa wajenge gereza lao.kwani wao ndo wameleta tetemeko?
 
Hao Wafungwa wapuuzi kweli, linatokea Tetemeko Kuta za Magereza zinabomoka bado tu mnaendelea kuwa wafungwa? Acha wajenge tu!
Wangetorokaje mchana kweupe na tetemeko lilichukua chini ya dk moja, Ingelikuwa ni usiku hapo sawa.
 
Kumekuchaaaaaaaaa!!!Labda wazo la Rais ni kuwa pesa hizo ziwaendee wale wenye uhitaji na wasio na uwezo hata wa kujisaidia,lkn wale wafungwa wana nguvu kazi na ujuzi wa kutosha kuweza kujijengea magereza wenyewe
Acha kutetea ujinga.hela zilizochangwa zinatosha kabisaa.UK wametoa bilioni 6.acha hao wengine.hzo hela zimeenda wapi?acha kuwa mpumbavu.
 
Hapa nakuunga mkono 100% percent hatuwezi kulisha watu wahalifu ....
Na tuwajengee pa kulala wana uwezo wa kufanya hivyo hata chakula walitakiwa walime chao sio kulia lia budget......
Sasa mk mifuko ya cement na nondo navyo watalima bila kupewa msaada, juma bhana co vizur, wafungwa wapewe msaada wa vifaa vya ujenz halafu wajenge wenyewe, kwan waliwaambieni wanataka muwapelekee na mafundi wa kuwajengea? Vifaa tu ndo vinahitajika.
 
Nchi kama China, Vietnam, Russia, wafungwa ndo wanaofanya kazi hakuna kutegemea serikali kwa kila jambo
Hata hapa Tanzania miaka ya nyuma magereza kama kitengure , lilikuwa linazalisha chakula mpaka cha kuuza kupata hela , wana ng'ombe zaidi ya elfu 5 wana mifuko yao ya kuendesha shughuli zao, na mambo mbali mbali hivyo wajenge wao, na cement wanunue wenyewe,
Wewe akili hauna.wale wafungwa ni binadamu kama wewe.na wanaitaji kusaidiwa kwa kesi kama hyo ya tetemeko.hawakupenda.itokee.na kujenga gereza hyo sio kazi yao.tumia akili yako vizuri.
 
Kama kuna chochote kilichotolewa kwa ajili ya waathirika wa tetemeko la ardhi basi hata wafungwa nao wana haki ya kukipata. Hiyo misaada ni kwa ajili ya waathirika wa tetemeko na miongoni mwa waathirika hao wamo pia wafungwa sasa iweje wasipate wanachostahili? Leo imetokea kwa wafungwa kuna mtu ataona haimuhusu, kesho itatokea kwa madaktari, kuna mtu atakaa kimya maana yeye sio daktar, kisha itatokea kwa walimu pia hatotoa neno maana yeye sio mwalimu, siku akipatwa yeye atashangaa hakuna wa kumsemea maana wote waliomzunguka wapo hohehahe.
 
H
Kumekuchaaaaaaaaa!!!Labda wazo la Rais ni kuwa pesa hizo ziwaendee wale wenye uhitaji na wasio na uwezo hata wa kujisaidia,lkn wale wafungwa wana nguvu kazi na ujuzi wa kutosha kuweza kujijengea magereza wenyewe
Hapana mh. Rais hajafanya vyema. Alitakiwa kujua Magereza wafungwa ni nguvu kazi tu lakini vifaa na material mengine ya ujenzi yanatakiwa na hupatikana kwa fedha na si vinginevyo. Magereza hutegemea ruzuku kutoka Serikalini. Bado nasisitiza Serikali wawapatie fedha wajenge Gereza Kitengule.
 
Kumekuchaaaaaaaaa!!!Labda wazo la Rais ni kuwa pesa hizo ziwaendee wale wenye uhitaji na wasio na uwezo hata wa kujisaidia,lkn wale wafungwa wana nguvu kazi na ujuzi wa kutosha kuweza kujijengea magereza wenyewe
Cement nondo nk watapata wapi
 
Unajua siku zote mgonjwa hutarajia pole kutoka kwa watu wake...japo anajua kabisa pole haiponyi lakini ni neno lenye faraja.
Sasa maneno makali ya nini kwa wahanga....kana kwamba haya majanga ni man made? Haya tuache watetemeke !!!
 
Hizo pesa za michango zimekuwa nyingi sasa nadhani zinauwezo wa kuwajengea nyumba za kawaida wahanga wote.
 
Back
Top Bottom