Duh! Wewe utakuwa mwalimu!Nikuulize swali jepesi tu, nini tofauti kati ya maneno haya ya kiingereza MAY na SHALL??
Ukinijibu hapo ndipo tutajua kama Rais amevunja Katiba au laa
Nikuulize swali jepesi tu, nini tofauti kati ya maneno haya ya kiingereza MAY na SHALL??
Ukinijibu hapo ndipo tutajua kama Rais amevunja Katiba au laa
Yes ana uwezo huo pia na anao mkubwa tuUnatetea ujinga, yeye kashasema kama ana mamlaka ya kuteua basi pia lazima ana mamlaka ya kutengua. Haya kayasema yeye mwenyewe na kamwambia Kichere kuwa anaweza kukaa kwa mwaka mmoja tu akatumbuliwa.
Ni kweli lkn umesahau la sivyo unajitia upofu wa makusudi . Katiba imeweka utaratibu maalamu, endapo kwa namna zilivyoainishwa "zingatia" kikatiba kama rais aataona kuna Sababu ya kutoendelea baada ya hiyo miaka Mitano Naye hajafika umri wa kustaafu! Upo utaratibu wa kumwondoa toka nafasi hiyo.
Thatโs the naked truthUnatetea ujinga, yeye kashasema kama ana mamlaka ya kuteua basi pia lazima ana mamlaka ya kutengua. Haya kayasema yeye mwenyewe na kamwambia Kichere kuwa anaweza kukaa kwa mwaka mmoja tu akatumbuliwa.
Upumbavu wake aubebe mwenyewe. Kama hata neno shall hajui maana yake, huko nje ataongea Nini? MAGWANGALA IZI NOTI MAKINIKIA
Kipindi watu wanadai mabadiliko ya katiba hawakuwa wajinga lawama zote hizi ujinga wote huu tunampelekea mh jakaya kikwete kukataa mabadiliko ya katiba
Mh magufuli tutampigia kelele bure katumia udhaifu wa katiba yetu kufanya huu ujinga wanasheria wanapiga kelele tu ila mh rais katumia udhaifu wa katiba katika lugha kufanya huu ujinga
Tukumbuke mwanasheria siyo mtaalamu wa lugha sasa ukienda kwenye taaluma ya kugha hususani kingereza kuna hii kitu
"Linguistic prescription, or prescriptive grammar," hii kwa lugha nyepesi tunaweza isema ni kanuni ambayo inaonyesha matumizi sahihi ya lugha katika vipengele vya uandishi, utamkaji, misamiati, maana ya maneno, na muundo wa sentensi katika lugha
Wataalamu wa lugha mnajua kingereza kinachotumika kwenye sheria na biblia ni kingereza kipi middle English, siyo modern English na ndio maana vigum mtu asiye mwanasheriakusoma judgment ya mahakama akaielewa au mtu ambaye ajasoma Bible knowledge akachukua biblia anasoma akaelewa hata awe kasoma kingereza vipi atatoka kapa sababu English ilitotumika mule siyo English tunayotumia leo hii wanaojifunza mashuleni uko
Hilo neno "Shall" maana ambayo mwanasheria wetu wanaipigia kelele is out dated wenzetu washatoka uko shall not obligation tena hata kwenye sheria kwa sasa kwaiyo kipindi sheria ya kuwepo kwa CAG inatungwa wataalamu wetu hawakuchunguza hii helping verb shall kwa dunia ya sasa kwenye sheria je bado inabeba nguvu ile ile au vipi wakaandika tu
Kwaiyo kwa udhaifu huu wa katika yetu na tukio hili ni muda muafaka tena tuombe katiba mpya
Miye siyo mwanasheria pengine wanasheria watuambie je kwenye katiba huwa kuna sehemu hizi helping verb tata mfano shall je kuna sehemu huwa inaekezewa maana mfano
Shall katika katiba hii imetumika kuonyesha ulazima siyo hiyari ni lazima kwaiyo popote ilipotumika shall basi lazima je ipo
Kama ipo twendeni magogoni tukamchukue mzee kama haipo tuwe Walpole tu
GUSSIE,
Nikuulize swali jepesi tu, nini tofauti kati ya maneno haya ya kiingereza MAY na SHALL?
Ukinijibu hapo ndipo tutajua kama Rais amevunja Katiba au la.
Kweli JK alishindwa kutuletea katiba mpya, lakini tusimlaumu sana kwa suala la Katiba mpya bali tumlaumu kwa kutuletea Jiwe anaye kataa kumalizia katiba mpya na anaye vunja hata hiyo katiba ya zamani yenye vitu vichache vizuri.Kipindi watu wanadai mabadiliko ya katiba hawakuwa wajinga lawama zote hizi ujinga wote huu tunampelekea mh jakaya kikwete kukataa mabadiliko ya katiba
Mh magufuli tutampigia kelele bure katumia udhaifu wa katiba yetu kufanya huu ujinga wanasheria wanapiga kelele tu ila mh rais katumia udhaifu wa katiba katika lugha kufanya huu ujinga
Tukumbuke mwanasheria siyo mtaalamu wa lugha sasa ukienda kwenye taaluma ya kugha hususani kingereza kuna hii kitu
"Linguistic prescription, or prescriptive grammar," hii kwa lugha nyepesi tunaweza isema ni kanuni ambayo inaonyesha matumizi sahihi ya lugha katika vipengele vya uandishi, utamkaji, misamiati, maana ya maneno, na muundo wa sentensi katika lugha๐๐๐๐