Rais Magufuli chukua tahadhari hii haraka!

Wakati hivi sasa kila mtu akitafakari hatua ya kishujaa uliyoichukua leo kwa huyo Mama RC na hiyo Njemba RAS na ambayo kwa duru za kidadisi na kiuchambuzi zinasema kwamba hiki ulichokifanya wewe umeweka rekodi yako ya kutukuka kwani hakijawahi kufanywa hata na Mchonga ambaye wengi wetu tunamsifu, kumkumbuka na kumlilia kila siku.

Ila Mheshimiwa Rais kuna kitu nimekigundua na naomba nikiwasilishe kwako na sikulazimishi ukifanyie kazi ila kama utaona inafaa kifanyie kazi tena haraka na upesi sana.

Mheshimiwa Rais kwa jinsi ulivyowaonya hawa Wakuu wako wa Mikoa siku ile unawaapisha huku wengine pale pale ukumbini nyuso zao zilianza kuonekana zimejaa hofu na uwoga inawezekana huyu Mama Anne Kilango Malecela akawa ni mkweli kuwa Mkoani kwake hakuna ghost workers ila huko kwa wengine kwasababu ya uwoga na kutotaka kupoteza vyeo ambavyo wamevipata kwa zali la mentali wanaweza wakawa wamekupa taarifa na figure za uwongo ili tu uwaone wametekeleza kile ulichowatuma.

Nadhani mheshimiwa Rais wangu usingeharakisha kwanza kumuondoa huyu Mama labda mpaka utume watu wako unaowaamini ili na wao wakakuchunguzie vizuri. Inawezekana leo tukakusifu kuwa umechukua hatua stahiki ila huko mbeleni ukweli ukaja kujulikana kuwa ni kweli Mkoa wa Shinyanga ulikuwa hauna hao wafanyakazi hewa halafu huyu Mama ndiyo akaja kuwa Shujaa hadi mwisho wa dunia.

Kwa uzoefu nilionao na kwa jinsi sisi Watanzania tunavyojuana kwa umagumashi na usanii nina uhakika kuna baadhi hata ya hao Wakuu wako wa Mikoa hizo figure walizokupa wamezipika kimkakati tu ili wakuchote akili utiririke nao pamoja na usije ukawatumbua. Binafsi kuna Wakuu wa Mikoa kama watatu hivi ambao kabla hata hujawateua ni WATAALAM wa usanii na ujanja ujanja na hata niliposikia baadhi yao wakitaja figures zao ilibidi tu nicheke na hata wao nikiwapigia simu au tukikutana wanakuambia " kanyaga twende tunacheza mziki ambao DJ ameuchagua na kaupenda ".

Binafsi nadhani mara baada tu ya kuwateua vile basi ungewapa hata miezi mitatu au sita waweke mambo sawa na kwa taratibu ili wakija kukupa TAARIFA basi ziwe ni sahihi kwelikweli huku na wewe unawapa majukumu Watendaji wako hasa RSO's tena kisirisiri wakufanyie hii kazi na nina uhakika mwishowe ungeyajua mengi kuliko hata haya kwani wewe umeona tu huo uozo wa WAFANYAKAZI HEWA ila Mheshimiwa Rais hakuna sehemu ambapo WATENDAJI wako wanapiga HELA za kufa mtu kama huko katika HALMASHAURI na sasa baada ya kuona umekuja na moto mkali na wao wamebadili mbinu ya kuiba je unaijua Mheshimiwa Rais wangu? Siku ukiitaka niambie nikuwekee humu ili sijui ucheke au ulie!

Kataa kubali Mheshimiwa Rais hizo TAKWIMU ulizopewa na hao WAKUU WAKO WATEULE WA MIKOA zichunguze vizuri na kwa umakini kwani 85% zake UMEDANGANYWA kwa kile hawa Marafiki zangu Wakuu wa Mikoa watatu walichokibatiza " kanyaga twende tunacheza mziki ambao DJ ameuchagua na kaupenda ".

Yangu ni hayo tu Mheshimiwa Rais wangu na nakupongeza kwa jitahada zako na nakutakia kila la kheri. Tuna imani kubwa na wewe na tunajua utatufikisha mahala fulani ambako mwenzako hakutaka kutufikisha. Mwenyezi Mungu akupiganie, akulinde na akupe afya bora Wewe, Mama Samia, Waziri Mkuu na Mawaziri wote na Watendaji wengine ili muitumikie vyema hii nchi ambayo kiukweli maendeleo yake yatatokana na jitihada zenu.

Akhsante Mungu ibariki Afrika na Mungu ibariki Tanzania.
Pole sana hivi unafikiri Rais anafanya maamuzi kwa kutegemea majungu, ana namna yake ya kupata taarifa kabla hata hajapewa taarifa na hao wahusika kama wakuu wa mikoa
 
Acha wasomeshane namba. Ndo watamjua magu. Go magu
 
Pole sana hivi unafikiri Rais anafanya maamuzi kwa kutegemea majungu, ana namna yake ya kupata taarifa kabla hata hajapewa taarifa na hao wahusika kama wakuu wa mikoa

Akhsante kwa kuchangia Mkuu. Haya kamwogeshe mwanao ukalale sasa!
 
mi nsakuchokaga wewe na story zako zisizo na maana!
 
Mmmmh!Position yenyewe iko mikononi mwake kwa hiyo anayo mamlaka yakumuondoa yoyote pale yeye mwenyewe anapoona inafaa kwa hiyo sio ishu saana hata kama hamna sababu sikaamua tunahitaji katiba mpya mambo ya mauteuzi yapungue tuwe na watu wanaowajibika na kuwajibishwa na wananchi sio mauteuzi.
 
Yawezekana kweli takwimu zinapikwa,kwani hata ZZK aliwahi kulalamikia hili upande wa Kigoma,wale walioonekana hewa walikua ni watumishi walioko masomoni...Raisi anatenda kazi vizuri lakini sio kigezo cha kumwabudu kama Mungu.Pia sio lazima kila wilaya iwe nao hao watumishi hewa,wanaweza wakakosekana pia,hili linawezekana..Swala la watumishi hewa lina_chain ndefu,huu mradi sio wa mtu mmoja,ili kuinyoosha nchi na kumwona yuko Fair Raisi angetumbua wahusika wote mf. wakurugenz,maafisa utumishi n.k maana hawa ndio wana data muhimu za nani mtumishi wa wilaya hucka na nani sio mtumishi,.
 
Umemaliza kila kitu Mkuu. Akhsante sana! Kuna watu akili zao timamu huziacha wakiwa msalani na wakitoka huko msalani hubeba akili za ule uchafu walioutoa huko ambazo huwaongoza katika fikra fupi zisijo na hoja yenye mashiko sana sana wakiwa tu wanahemka.
Bora CORAL PAINTS wamesitisha udhamini wao,post zako zinasomeka na kueleweka siku hizi.
 
Wakati hivi sasa kila mtu akitafakari hatua ya kishujaa uliyoichukua leo kwa huyo Mama RC na hiyo Njemba RAS na ambayo kwa duru za kidadisi na kiuchambuzi zinasema kwamba hiki ulichokifanya wewe umeweka rekodi yako ya kutukuka kwani hakijawahi kufanywa hata na Mchonga ambaye wengi wetu tunamsifu, kumkumbuka na kumlilia kila siku.

Ila Mheshimiwa Rais kuna kitu nimekigundua na naomba nikiwasilishe kwako na sikulazimishi ukifanyie kazi ila kama utaona inafaa kifanyie kazi tena haraka na upesi sana.

Mheshimiwa Rais kwa jinsi ulivyowaonya hawa Wakuu wako wa Mikoa siku ile unawaapisha huku wengine pale pale ukumbini nyuso zao zilianza kuonekana zimejaa hofu na uwoga inawezekana huyu Mama Anne Kilango Malecela akawa ni mkweli kuwa Mkoani kwake hakuna ghost workers ila huko kwa wengine kwasababu ya uwoga na kutotaka kupoteza vyeo ambavyo wamevipata kwa zali la mentali wanaweza wakawa wamekupa taarifa na figure za uwongo ili tu uwaone wametekeleza kile ulichowatuma.

Nadhani mheshimiwa Rais wangu usingeharakisha kwanza kumuondoa huyu Mama labda mpaka utume watu wako unaowaamini ili na wao wakakuchunguzie vizuri. Inawezekana leo tukakusifu kuwa umechukua hatua stahiki ila huko mbeleni ukweli ukaja kujulikana kuwa ni kweli Mkoa wa Shinyanga ulikuwa hauna hao wafanyakazi hewa halafu huyu Mama ndiyo akaja kuwa Shujaa hadi mwisho wa dunia.

Kwa uzoefu nilionao na kwa jinsi sisi Watanzania tunavyojuana kwa umagumashi na usanii nina uhakika kuna baadhi hata ya hao Wakuu wako wa Mikoa hizo figure walizokupa wamezipika kimkakati tu ili wakuchote akili utiririke nao pamoja na usije ukawatumbua. Binafsi kuna Wakuu wa Mikoa kama watatu hivi ambao kabla hata hujawateua ni WATAALAM wa usanii na ujanja ujanja na hata niliposikia baadhi yao wakitaja figures zao ilibidi tu nicheke na hata wao nikiwapigia simu au tukikutana wanakuambia " kanyaga twende tunacheza mziki ambao DJ ameuchagua na kaupenda ".

Binafsi nadhani mara baada tu ya kuwateua vile basi ungewapa hata miezi mitatu au sita waweke mambo sawa na kwa taratibu ili wakija kukupa TAARIFA basi ziwe ni sahihi kwelikweli huku na wewe unawapa majukumu Watendaji wako hasa RSO's tena kisirisiri wakufanyie hii kazi na nina uhakika mwishowe ungeyajua mengi kuliko hata haya kwani wewe umeona tu huo uozo wa WAFANYAKAZI HEWA ila Mheshimiwa Rais hakuna sehemu ambapo WATENDAJI wako wanapiga HELA za kufa mtu kama huko katika HALMASHAURI na sasa baada ya kuona umekuja na moto mkali na wao wamebadili mbinu ya kuiba je unaijua Mheshimiwa Rais wangu? Siku ukiitaka niambie nikuwekee humu ili sijui ucheke au ulie!

Kataa kubali Mheshimiwa Rais hizo TAKWIMU ulizopewa na hao WAKUU WAKO WATEULE WA MIKOA zichunguze vizuri na kwa umakini kwani 85% zake UMEDANGANYWA kwa kile hawa Marafiki zangu Wakuu wa Mikoa watatu walichokibatiza " kanyaga twende tunacheza mziki ambao DJ ameuchagua na kaupenda ".

Yangu ni hayo tu Mheshimiwa Rais wangu na nakupongeza kwa jitahada zako na nakutakia kila la kheri. Tuna imani kubwa na wewe na tunajua utatufikisha mahala fulani ambako mwenzako hakutaka kutufikisha. Mwenyezi Mungu akupiganie, akulinde na akupe afya bora Wewe, Mama Samia, Waziri Mkuu na Mawaziri wote na Watendaji wengine ili muitumikie vyema hii nchi ambayo kiukweli maendeleo yake yatatokana na jitihada zenu.

Akhsante Mungu ibariki Afrika na Mungu ibariki Tanzania.
Duh mbona kama sielewi hivi! Hao 45 wametoka wapi? Waliotumwa kutoka Ikilu na kubaini hao 45 na ikiwa bado wilaya 2 hawatoshi kujiridhisha?
 
pumba tu who are you kumpa Raisi ushauri wako wa kijiweni huna hata Elimu ya juu.

swissme
We ndio pumba kabisa hujui kuwa huyo ndio mwajiri wa huyo rais, acha kutumia kichwa kidogo kufikiria baada ya kumuelekeza unaropoka. Rais kaajiliwa na sie wananchi tuna haki ya kumpa maoni.
nistdanavigator
Nashukuru kwa Elimu malidhawa kwa watanzania wasio jua mwajiri wa President ni nani..!! Good sana.
 
Duh inamaana kuandika maoni lazima uwe Na shahada 7.Sasa weye unazo ngapi za kumjibu Mtoa Uzi?
Chakushangaza umemkubali JPM Na
Umemsaliti the don.
Yuda weyeee
hahahaha.

swissme
 
Aisee, umeandika as if ulikuwa na Mh.JPM kwenye kijiwe chako cha chang'aa na baadae akaenda ofisini kufukuza mtu kwa kigezo cha taarifa za gengeni. Unfortunately, huo ndo mfululizo wa utumbo unao andika kila mara hapa JF. Nimekusifu tu sasa umejifunza kuandika bila CAPS kwa kila neno.
 
Msimamo wangu kwako bado ni ule ule kuwa SIKUTAKI Dada na usilazimishe lazima mimi niwe na wewe. Mbona Wanaume humu tupo wengi? Kwanini UNANITAKA mimi KIMAPENZI kwa lazima?
Kwani wewe ni mwanaume? Mbona unatabia za kike au mambo swafi
 
Wapewe miezi 6 hiyo ilikua ni kasi ya nguvu mpya hizi ni dhama apa kazi tu kwa iyo yao ushauri wako ungemfa zaid mzee msoga kwenye escrow mwache magu afanye kazi zake
 
Sikiliza taarifa habari vizuri, hao watu kawatuma na kasema waongezewe ulinzi"
 
Rais afanye uchunguzi upi! Uchunguzi kafanya akagundua hao 45 hewa na bado timu yake inaendelea.
 
Yawezekana kweli takwimu zinapikwa,kwani hata ZZK aliwahi kulalamikia hili upande wa Kigoma,wale walioonekana hewa walikua ni watumishi walioko masomoni...Raisi anatenda kazi vizuri lakini sio kigezo cha kumwabudu kama Mungu.Pia sio lazima kila wilaya iwe nao hao watumishi hewa,wanaweza wakakosekana pia,hili linawezekana..Swala la watumishi hewa lina_chain ndefu,huu mradi sio wa mtu mmoja,ili kuinyoosha nchi na kumwona yuko Fair Raisi angetumbua wahusika wote mf. wakurugenz,maafisa utumishi n.k maana hawa ndio wana data muhimu za nani mtumishi wa wilaya hucka na nani sio mtumishi,.

Huwa nawapenda " majiniasi " wenzangu kama wewe Mkuu. Safi sana kwa kufanya critique iliyotukuka.
 
Back
Top Bottom