Rais Magufuli chukua tahadhari hii haraka!

pumba tu who are you kumpa Raisi ushauri wako wa kijiweni huna hata Elimu ya juu.

swissme
Hatimaye umemkubali JPM ni Raisi hodari,hakika akili zinakurudia taratibu na ombi langu kwa Mungu akufunulie ujue mipango ovu ya mbowe,lowasa dhidi ya chadema.
 
Umeshaambiwa katuma watu wake na kagundua wafanyakazi hewa 45, na bado wilaya mbili!

Ingawa namkubali Anna Malecela, ila namkubali JPM kwa alichokifanya ili iwe fundisho kwa wanasiasa "Watawajibika kwa maeneno na vitendo vyao"
Habari ya data kupikwa itajulikana kirahisi tu. ni kuangalia idadi ya wafanyakazi waliokuwepo kabla ya zoezi hilo vs mishahara iliyokuwa ikilipwa vs mishahara mipya. Kama utata upo utaonekana kirahisi sana.
 
Kuna threads zingine kuchangia kwake unatakiwa na wewe upstairs uwe UMETUKUKA lakini kama ni mwenzangu na mimi utaishia kupita tu! Pita tu Mkuu usiwachoshe watu.
Ndo maana unaonekana HAYAWANI! Umeambiwa tayari timu imeanza kazi na kuanzia imewagundua 45! Unataka nini tena wewe Mbuzi!?

Nyie watu wa Kasikazini ni vipi hamtaki kuguswa!? Au wewe ndo Le Mutuz?

Unaboa bhana wewe binti
 
Umeandika Taka taka tupu na hakuna wakuchukua...! Ikulu imefanya uchunguzi full stop.
 
Wakati hivi sasa kila mtu akitafakari hatua ya kishujaa uliyoichukua leo kwa huyo Mama RC na hiyo Njemba RAS na ambayo kwa duru za kidadisi na kiuchambuzi zinasema kwamba hiki ulichokifanya wewe umeweka rekodi yako ya kutukuka kwani hakijawahi kufanywa hata na Mchonga ambaye wengi wetu tunamsifu, kumkumbuka na kumlilia kila siku.

Ila Mheshimiwa Rais kuna kitu nimekigundua na naomba nikiwasilishe kwako na sikulazimishi ukifanyie kazi ila kama utaona inafaa kifanyie kazi tena haraka na upesi sana.

Mheshimiwa Rais kwa jinsi ulivyowaonya hawa Wakuu wako wa Mikoa siku ile unawaapisha huku wengine pale pale ukumbini nyuso zao zilianza kuonekana zimejaa hofu na uwoga inawezekana huyu Mama Anne Kilango Malecela akawa ni mkweli kuwa Mkoani kwake hakuna ghost workers ila huko kwa wengine kwasababu ya uwoga na kutotaka kupoteza vyeo ambavyo wamevipata kwa zali la mentali wanaweza wakawa wamekupa taarifa na figure za uwongo ili tu uwaone wametekeleza kile ulichowatuma.

Nadhani mheshimiwa Rais wangu usingeharakisha kwanza kumuondoa huyu Mama labda mpaka utume watu wako unaowaamini ili na wao wakakuchunguzie vizuri. Inawezekana leo tukakusifu kuwa umechukua hatua stahiki ila huko mbeleni ukweli ukaja kujulikana kuwa ni kweli Mkoa wa Shinyanga ulikuwa hauna hao wafanyakazi hewa halafu huyu Mama ndiyo akaja kuwa Shujaa hadi mwisho wa dunia.

Kwa uzoefu nilionao na kwa jinsi sisi Watanzania tunavyojuana kwa umagumashi na usanii nina uhakika kuna baadhi hata ya hao Wakuu wako wa Mikoa hizo figure walizokupa wamezipika kimkakati tu ili wakuchote akili utiririke nao pamoja na usije ukawatumbua. Binafsi kuna Wakuu wa Mikoa kama watatu hivi ambao kabla hata hujawateua ni WATAALAM wa usanii na ujanja ujanja na hata niliposikia baadhi yao wakitaja figures zao ilibidi tu nicheke na hata wao nikiwapigia simu au tukikutana wanakuambia " kanyaga twende tunacheza mziki ambao DJ ameuchagua na kaupenda ".

Binafsi nadhani mara baada tu ya kuwateua vile basi ungewapa hata miezi mitatu au sita waweke mambo sawa na kwa taratibu ili wakija kukupa TAARIFA basi ziwe ni sahihi kwelikweli huku na wewe unawapa majukumu Watendaji wako hasa RSO's tena kisirisiri wakufanyie hii kazi na nina uhakika mwishowe ungeyajua mengi kuliko hata haya kwani wewe umeona tu huo uozo wa WAFANYAKAZI HEWA ila Mheshimiwa Rais hakuna sehemu ambapo WATENDAJI wako wanapiga HELA za kufa mtu kama huko katika HALMASHAURI na sasa baada ya kuona umekuja na moto mkali na wao wamebadili mbinu ya kuiba je unaijua Mheshimiwa Rais wangu? Siku ukiitaka niambie nikuwekee humu ili sijui ucheke au ulie!

Kataa kubali Mheshimiwa Rais hizo TAKWIMU ulizopewa na hao WAKUU WAKO WATEULE WA MIKOA zichunguze vizuri na kwa umakini kwani 85% zake UMEDANGANYWA kwa kile hawa Marafiki zangu Wakuu wa Mikoa watatu walichokibatiza " kanyaga twende tunacheza mziki ambao DJ ameuchagua na kaupenda ".

Yangu ni hayo tu Mheshimiwa Rais wangu na nakupongeza kwa jitahada zako na nakutakia kila la kheri. Tuna imani kubwa na wewe na tunajua utatufikisha mahala fulani ambako mwenzako hakutaka kutufikisha. Mwenyezi Mungu akupiganie, akulinde na akupe afya bora Wewe, Mama Samia, Waziri Mkuu na Mawaziri wote na Watendaji wengine ili muitumikie vyema hii nchi ambayo kiukweli maendeleo yake yatatokana na jitihada zenu.

Akhsante Mungu ibariki Afrika na Mungu ibariki Tanzania.
Kwani hujasikia kwamba uchunguzi umeonesha ku a watumishi hewa na bafo unaendelea. Kwan rais kakurupuka kwa sababu tu kaambiwa hakuna watumish hewa
 
Elewa kwanza taarifa ilitolewa ndio,ulete hiyo pumba yako
 
Acha kujikomba gentamycine. Wewe ongea kama dume acha sifa za kike. Watu wamemkosoa pamoja na kuwa unaita ushujaa. Umeniudhi wakati gentamycine ni jina kubwa humu
 
Mleta positi ungekuwa karibu ningekuzaba kibao cha sikioni ili kukufungua masikio. TZ imejaa viongozi waliozoea kufanya kazi Kwa mazoea
 
Kwann unataka Mh Rais akuamini wewe kwa lipi na kwa jinsi gani?
 
Mtoa maada you are dreaming. Huna taarifa kamili ya jambo hili. Find out the details na muombe radhi muheshimiwa Raisi na sote uliotupotezea muda kuisoma post yako.
 
N
Kwann unataka Mh Rais akuamini wewe kwa lipi na kwa jinsi gani?
Yamafu we kwenda ushauri haupo hivyo kwanza umeanza kukosoa teuzi zake eti unampa ushauri hayo yote uliyajuaje anzia kwa mwenyekiti wa mtaa wako sawa mkuu
 
Uchunguz umefanyika na ukabain watumishi hewa 45, sas kama ww unazan jpm kakurupuka unajidanganya.
 
T
Kuna threads zingine kuchangia kwake unatakiwa na wewe upstairs uwe UMETUKUKA lakini kama ni mwenzangu na mimi utaishia kupita tu! Pita tu Mkuu usiwachoshe watu.
tena wewe unaonekana una matatizo kabisa hukusoma takwimu? Huamini mamlaka zilizofanya kazi kuhakiki?
 
Msimamo wangu kwako bado ni ule ule kuwa SIKUTAKI Dada na usilazimishe lazima mimi niwe na wewe. Mbona Wanaume humu tupo wengi? Kwanini UNANITAKA mimi KIMAPENZI kwa lazima?
wewe nae unajiita mwaume.

swissme
 
Wakati hivi sasa kila mtu akitafakari hatua ya kishujaa uliyoichukua leo kwa huyo Mama RC na hiyo Njemba RAS na ambayo kwa duru za kidadisi na kiuchambuzi zinasema kwamba hiki ulichokifanya wewe umeweka rekodi yako ya kutukuka kwani hakijawahi kufanywa hata na Mchonga ambaye wengi wetu tunamsifu, kumkumbuka na kumlilia kila siku.

Ila Mheshimiwa Rais kuna kitu nimekigundua na naomba nikiwasilishe kwako na sikulazimishi ukifanyie kazi ila kama utaona inafaa kifanyie kazi tena haraka na upesi sana.

Mheshimiwa Rais kwa jinsi ulivyowaonya hawa Wakuu wako wa Mikoa siku ile unawaapisha huku wengine pale pale ukumbini nyuso zao zilianza kuonekana zimejaa hofu na uwoga inawezekana huyu Mama Anne Kilango Malecela akawa ni mkweli kuwa Mkoani kwake hakuna ghost workers ila huko kwa wengine kwasababu ya uwoga na kutotaka kupoteza vyeo ambavyo wamevipata kwa zali la mentali wanaweza wakawa wamekupa taarifa na figure za uwongo ili tu uwaone wametekeleza kile ulichowatuma.

Nadhani mheshimiwa Rais wangu usingeharakisha kwanza kumuondoa huyu Mama labda mpaka utume watu wako unaowaamini ili na wao wakakuchunguzie vizuri. Inawezekana leo tukakusifu kuwa umechukua hatua stahiki ila huko mbeleni ukweli ukaja kujulikana kuwa ni kweli Mkoa wa Shinyanga ulikuwa hauna hao wafanyakazi hewa halafu huyu Mama ndiyo akaja kuwa Shujaa hadi mwisho wa dunia.

Kwa uzoefu nilionao na kwa jinsi sisi Watanzania tunavyojuana kwa umagumashi na usanii nina uhakika kuna baadhi hata ya hao Wakuu wako wa Mikoa hizo figure walizokupa wamezipika kimkakati tu ili wakuchote akili utiririke nao pamoja na usije ukawatumbua. Binafsi kuna Wakuu wa Mikoa kama watatu hivi ambao kabla hata hujawateua ni WATAALAM wa usanii na ujanja ujanja na hata niliposikia baadhi yao wakitaja figures zao ilibidi tu nicheke na hata wao nikiwapigia simu au tukikutana wanakuambia " kanyaga twende tunacheza mziki ambao DJ ameuchagua na kaupenda ".

Binafsi nadhani mara baada tu ya kuwateua vile basi ungewapa hata miezi mitatu au sita waweke mambo sawa na kwa taratibu ili wakija kukupa TAARIFA basi ziwe ni sahihi kwelikweli huku na wewe unawapa majukumu Watendaji wako hasa RSO's tena kisirisiri wakufanyie hii kazi na nina uhakika mwishowe ungeyajua mengi kuliko hata haya kwani wewe umeona tu huo uozo wa WAFANYAKAZI HEWA ila Mheshimiwa Rais hakuna sehemu ambapo WATENDAJI wako wanapiga HELA za kufa mtu kama huko katika HALMASHAURI na sasa baada ya kuona umekuja na moto mkali na wao wamebadili mbinu ya kuiba je unaijua Mheshimiwa Rais wangu? Siku ukiitaka niambie nikuwekee humu ili sijui ucheke au ulie!

Kataa kubali Mheshimiwa Rais hizo TAKWIMU ulizopewa na hao WAKUU WAKO WATEULE WA MIKOA zichunguze vizuri na kwa umakini kwani 85% zake UMEDANGANYWA kwa kile hawa Marafiki zangu Wakuu wa Mikoa watatu walichokibatiza " kanyaga twende tunacheza mziki ambao DJ ameuchagua na kaupenda ".

Yangu ni hayo tu Mheshimiwa Rais wangu na nakupongeza kwa jitahada zako na nakutakia kila la kheri. Tuna imani kubwa na wewe na tunajua utatufikisha mahala fulani ambako mwenzako hakutaka kutufikisha. Mwenyezi Mungu akupiganie, akulinde na akupe afya bora Wewe, Mama Samia, Waziri Mkuu na Mawaziri wote na Watendaji wengine ili muitumikie vyema hii nchi ambayo kiukweli maendeleo yake yatatokana na jitihada zenu.

Akhsante Mungu ibariki Afrika na Mungu ibariki Tanzania.
Eti anamtetea mbunge alieshindwa kule kwao Same kwenda huyo alionekana ni kiroporopo tu mpare huyo anaishi jana anafanyakazi leo
 
Back
Top Bottom