T2015CCM
JF-Expert Member
- Sep 13, 2012
- 7,931
- 987
Ni live jioni hii kutoka Bagamoyo, rais wa nchi Dr. John Pombe Magufuli anazindua barabara inayotoka Bagamoyo hadi Msata yenye urefu wa km 63. hongera sana mheshmiwa rais. kwa sasa wananchi wanaotoka mikoa ya Kaskazini kuingia na kutoka Dar hawana ulazima wa kupitia Chalinze.