Rais Magufuli azindua barabara ya Bagamoyo Msata

T2015CCM

JF-Expert Member
Sep 13, 2012
7,931
987
Ni live jioni hii kutoka Bagamoyo, rais wa nchi Dr. John Pombe Magufuli anazindua barabara inayotoka Bagamoyo hadi Msata yenye urefu wa km 63. hongera sana mheshmiwa rais. kwa sasa wananchi wanaotoka mikoa ya Kaskazini kuingia na kutoka Dar hawana ulazima wa kupitia Chalinze.
 
Lini mabasi yaendayo mikoa ya kaskazini yataanza kupitia barabara hii kuja Dar badala ya ile ya Chalinze?
 
Hiyo barabara ni nzuri kwakua inatoa mbadala kwa ile route ya chalinze dar, kwa wale wasafiri toka mikoa ya kaskazini.
 
Lini mabasi yaendayo mikoa ya kaskazini yataanza kupitia barabara hii kuja Dar badala ya ile ya Chalinze?
Yapo tayari yameanza mkuu, Basi la Kilimanjaro wanatoa hiyo option ya arusha -dar via bagamoyo, ni fupi zaidi.
 
Yapo tayari yameanza mkuu, Basi la Kilimanjaro wanatoa hiyo option ya arusha -dar via bagamoyo, ni fupi zaidi.
Duuu safi sana mkuu kama imeanza itafupisha sana safari. Ile stendi tuliambiwa itahamia barabara ya Bagamoyo bado lakini?
 
Tatizo la hiyo njia ina matuta mengi kama shamba la viazi! Matuta yake yanaboa kuliko hata yale ya Shinyanga-Mwanza...
 
Hivi walioweka hayo matuta walikusudia nini?heri wangeacha kijenga kwa sababu hizo rasta zinaharibu magari!Wangeongeza tu vibao na tochi.
 
Wangetoa yale matuta ingekuwa vizuri sana
kama bado yapo kazi tunayo
 
Angewaamuru na wale kunguru weupe wapungue...maana kila kona wapo na wanoko balaah
 
Back
Top Bottom