Rais Magufuli awashangaa Kagera: UKIMWI nyie, tetemeko nyie, mna mto unaitwa Ngono na Kijiji cha Katerero

Rejea maandiko matakatifu yaliyoko kwenye Bibilia ndipo utagundua mantiki ya rais in a holistic way. Miji ya Sodoma na Gomola baada ya kukithiri tabia mbaya isiyompendeza Mungu alituma ghalika la mafuriko kama lile la sumani alilolilolituma Marekani. Mungu badala ya ghalika angeweza kuwatumia tetemeko au ukimwi hao watu wa Gomola na Sodoma.

Hivyo inapupasa kuachana na tabia isiyompendeza Mungu kama tunataka kuepukana na majanga haya toka kwa Mwenyezi Mungu. Ona sasa nchi za Ulaya na Marekani watu wake wanavyoangamizwa (wao wanasingizia ugaidi) kila kukicha kwa sababu wameamua kuishi maisha ya sodoma na gomola, wao wameibatiza tabia hiyo kwa jina la homosex. Wategemee majanga zaidi kama hawataacha hiyo kitu isiyompendeza Mungu. Mbaya zaidi wanatulazimisha na sisi tuwe na tabia hiyo. Kamwe tusikubali maana lazima tutaangamia hata kwa Zika.
Kama sodoma na gomola hilo gharika lingeanzia pwani...uliambiwa wahaya mashoga???!!!!
 
Peter Tosh huyo.aende Tarime akawasemee mbovu hivyo aone wanaume wa kichuri watakavyoreact
 
Itz a shame..a big shame.....kwanza uwatusi wahanga kwa dhihaka kubwakubwa....hivi huyu mtu anafikiri kweli kabla ya kutendah...!!? Kweli wana Kagera waliomba GONJWA la ukimwi kutoka kwa Mungu...!!? Je ni wao waliomba kwa Mungu awaadhibu kwa TETEMEKO.....!!? Mto Ngono umewauliza asili ya neno na maana yake au ndio akili yako Mtukufu ilipo lalia......!!? Nakumbuka umewahi kumnyanyasa kisaikolojia mama aliye ulizia HOBBIE yako ....sasa nimekuelewa....!! Je kijiji cha KATELELO umewauliza wazee wa KAGERA asili ya neno na maana yake...!!?

MAGU.....Mbona wewe unaitwa Pombe (baba wa maasi) na bado ukienda kanisani unapewa baraka...!!?

Magu..watake RADHI wana Kagera....hata kama ni watani wako...utani usiuweke katikati ya MSIBA.....

Mwisho unawadhihaki kwa kuwaambia KAGERA OYEEE...!!?

BILA CHEMBE YA AIBU...Mungu anakuona...!!
Nimeiskiliza hii clip nimeshindwa kuamini kama ni Rais anaweza kutamka maneno hayo. Eti Ukimwi wao kwani wao ndo wenye ukimwi Tanzania au dunia nzima na angejua mkoa huo ulishaepukana na ukimwi ni mikoa kama Iringa, Njombe zinaongoza, Eti tetemeko wao kwani waliomba kwa Mungu wapate tetemeko, eti Katerero (aibu) angejua asili ya kijiji hicho kuitwa hivyo, na ni kabla ya neon ilo kuwepo, eti mto Ngono(anafikiri ngono ya Kiswahili) ngono hajui kwa kihaya au Kinyambo lina maana gani kama sijakosea nadhani uwa na maana ya chanzo cha mto.
Staha ni muhimu ukishakuwa mtu mkubwa. Washauri wake waache kumuogopa wampeleke darasani ajifunze kuongea kwa diplomasia
 
Misconception

Mbona wananchi waliokuwa wanamsikiliza walikuwa wanacheka na kuitikia oye

Ina maana ww uliyekuwa nyuma ya keyboard una uchungu sana kuliko waliohudhuria mhadhara "waathirika"

Siyo kila jambo uliwekee -ve tu mjomba,jaribu kuwa positive
Waliokuwa wanacheke walisombwa na maroli toka Chato kwa taarifa
 
Mm wala sishangai.
Ila ikitokea kumfika na yy ayatamke tu.
Asije akajiskia mzito kuyasema.
Manake hizo ni kadar za allah.
Yy Mungu ndo anajua kipi kapanga na kipi kinaweza tokea kwa mda husika ulopangwa kutokea.
 
niliposoma kichwa cha habari nilijua uzushi, kusikiliza clip, dah, presdient wetu sio mnafiki kabisa anapenda kusema yaliyoko moyoni kwa uwazi wote. hata lile la kuwaambia ardhi yakijani wao wanategemea msaada wa food, nampongeza.
Tatizo watu tunashangilia tusio yajua au kucheza ngoma tusio jua ina mantiki gani. Katika mikio ambayo serikali haijawahi kuwahemea chakula Kagera ni miongoni mwao. Swala la ardhi kuwa ya kijani ni asili ya kagera, maana ardhi ya kagera ikipata mvua wiki moja inabadilika kuwa kijani, Yeye Mh. Magu ameenda kipindi mvua zimeanza kunyesha, hajaenda kipindi cha ukame kuona palivyo. Swala la Katereo, mto ngono na mengine aliyoongea yalikuwa yamebeba maudhui gani kwanye speech yake?
 
Rejea maandiko matakatifu yaliyoko kwenye Bibilia ndipo utagundua mantiki ya rais in a holistic way. Miji ya Sodoma na Gomola baada ya kukithiri tabia mbaya isiyompendeza Mungu alituma ghalika la mafuriko kama lile la sumani alilolilolituma Marekani. Mungu badala ya ghalika angeweza kuwatumia tetemeko au ukimwi hao watu wa Gomola na Sodoma.

Hivyo inapupasa kuachana na tabia isiyompendeza Mungu kama tunataka kuepukana na majanga haya toka kwa Mwenyezi Mungu. Ona sasa nchi za Ulaya na Marekani watu wake wanavyoangamizwa (wao wanasingizia ugaidi) kila kukicha kwa sababu wameamua kuishi maisha ya sodoma na gomola, wao wameibatiza tabia hiyo kwa jina la homosex. Wategemee majanga zaidi kama hawataacha hiyo kitu isiyompendeza Mungu. Mbaya zaidi wanatulazimisha na sisi tuwe na tabia hiyo. Kamwe tusikubali maana lazima tutaangamia hata kwa Zika.

Acha kutukana wanakagera wewe!Fanya utafiti ujue vizuri.
 
Hivi angekuwa anatumia kilevi sijui ingekuwaje.

Ingekuwa shida tupu
 
Mijitu mingine bhana....Anawaponda wee!; alaf et Kagera oyee, nanyie oyeee!! Kagera safii,,,,,, nyie safiiiii!!
 
Back
Top Bottom