Rais Magufuli awashangaa Kagera: UKIMWI nyie, tetemeko nyie, mna mto unaitwa Ngono na Kijiji cha Katerero

Magufuli amesema Kagera haipaswi kuwa ya matatizo bali ya mfano na kutolea mfano majanga yaliyotokea Kagera ya Ukimwi na tetemeko.

Pia akawaambia anajua wana kijiji kinaitwa Katerero na mto unaitwa Ngono.

Msikilize:

There is a hidden issue regarding these Kagera incidents(maafa) note HIV/ AIDS, or rather slim befell Kagera, Iddi Amin Dada annexed Kagera, MV Bukoba hundreds were feared dead, Earth quark befell Kagera, famine especially Missenyi I bet more calamities might follow!! It's a sign of bad omen. They should rename those towns/villages and give them meaningful names and not Katerero or Ngono!
 
Hivi angekuwa anatumia kilevi sijui ingekuwaje.

Mkuu kwani kaongea kitu gani kigeni?,hayo mambo yote yapo kila mtu wa huko anayajua na yametokea sasa kuyaongea ndio aonekane mlevi? Hivi watanzania tumerogwa? Tunapenda kusikia mambo ya uongo tu alikuja mzee wa uongo watu walikuwa wanamshangilia kweli lakini mzee anaogea kweli tupu ni nongwa kwenu. Aisee siasa izi zitatuua. Binafisi napenda mtu mkweli anayeongea ukweli.
 
Magufuli amesema Kagera haipaswi kuwa ya matatizo bali ya mfano na kutolea mfano majanga yaliyotokea Kagera ya Ukimwi na tetemeko.

Pia akawaambia anajua wana kijiji kinaitwa Katerero na mto unaitwa Ngono.

Msikilize:

Mtu afuatilie vizuri, lazima kuna kitu kibaya kiliwahi kumkwaza mheshimiwa huko zamani akiwa Kagera.
 
Nakumbuka kipindi nipo huko kikazi Bukoba.... I was so so surprised na hayo magodoro hotelini yenye nailoni kabla ya shuka.... Pia yanafanya kitanda kinakuwa cha baridi.... !!!
Sababu ni papuchi za huko kunyesha mvua wakati wa matembezi
 
Teh teh Magufuli anaijua katerero.kweli rais tumempata safari hii
Anaijuà kwani naye ni sehemu yàke. Kabla Chato kuwa Mkoa wa Geita ilikuwa Mkoa wa Kagera. Yeye ni sehemu ya hiyo Katerero, kwani Mkoa wa Kagera, na hata Kanda ya Ziwa kwa jumla wanafahamu katerero. Kama Uganda inavyotumika ndivyo na hapa Tz ilivyo, wala watu wasione kama ni jambo la ajabu sana.
 
Magufuli amesema Kagera haipaswi kuwa ya matatizo bali ya mfano na kutolea mfano majanga yaliyotokea Kagera ya Ukimwi na tetemeko.

Pia akawaambia anajua wana kijiji kinaitwa Katerero na mto unaitwa Ngono.

Msikilize:

Mkuu, hii hotuba ni ya lini.?
 
Back
Top Bottom