Rais Magufuli awaapisha Waziri wa Viwanda na Biashara, Kamishna Mkuu TRA na RAS wa Njombe. Apokea gawio la Airtel la miezi mitatu, Tsh. Bilioni 3

Ttcl walishalipwa na Airtel au hilo gawio ni kupunguza ule ufisadi wao?
Na unga mkono juu udi!!!
 
Unamkumbuka Kabudi kwenye saga la kumuzia mkenya korosho tani 100,000.
Unakumbuka kauli ya Mwakyembe kuhusu ndoa za wasio na vyeti.
Unakumbuka kauli ya Abasi wakati unafungia magazeti.
PhD ya kabudi, PhD ya Mwakyembe na PhD ya abasi msemaji wa serikali ni zakuangalia upya. Sio bure.
Mwanaume mwenye uwezo wa kumuambia mkeo njoo huku nina hamu unajidhalilisha kama vile huwezi kunanihii
 
Mzee wa watu naona kama anajidhalilisha, anajinyenyekeza mpaka inaleta karaha, mara mimi masikini, mara nimetolewa jalalani, kwenye umasikini sifai kitu, nk

Kwa kariba ya nafasi aliyokuwa nayo kabudi Chuo kikuu mpaka hapo alipo anaongea kauli kama hizo, kweli...?
Kwa wagogo wala hushangai
 
Hachokagi kuapisha kilamara yeye ni kuapisha hanaga na kazi zingine ,hao mawaziri wake huwa anawafuatilia na kuwashauri saa ngapi au huwa anasubiri tu kuwalaumu hadharani .
 
Kwani alivyokuwa UDSM hakuwa akila na kushiba? Yaani anajidhalilisha na kudhalilisha wanataaluma wote ambao wako vyuoni kuwa pale ni mahali dhalili. Kwani tangu aende uwaziri amejiongezea miaka mingapi ya kuishi kama sio ameipunguza kwa hofu SAA zote anaogopa kutumbuliwa. Hivi anataka kutuambia kuwa ukiwa Mwalimu chuo kikuu so chochote hadi uingie baraza LA mawaziri. Yaani anataka kutueleza kuwa wale tusiokuwa mawaziri tunaishi maisha ya kishetani na yeye ndio kafika peponi pale alipo? Hizo ni fikra za Mawazo finyu yake pamoja na kuwa msomi mbobezi. Sasa kwa taarifa yake inawezekana Mwalimu UDSM analala usngizi Wa Masaa 8 wakati yeye halali hata SAA 6 na muda wowote anapigiwa Simu na boss wake na pressure inapanda hata kama hana kosa. Mimi nilidhani kwa MTU kama yeye angesema anaimiss UDSM alipokuwa huru kuongea ya moyoni sio sasa hivi amekuwa robot ya rais . Akumbuke kuwa kwa wenye hekima angejua kuwa hata akilala 5 star hotel , raha anayopta yeye ni sawa na Mimi nikilala chumba changu self contain nyumbani kwangu au hata na asiye na nyumba akapanga chumba starehe ni ile ile. Akila mapochopocho ya 5 star hotel hatimae baada mummeng'enyo Wa chakula yeye yuko sawa na Mimi niliyekula nyama na wali au ngano au ugali na nimeunga mafuta. Maana hatimae wote tunapata wanga protini na mafuta na vitamin na madini yanayotakiwa mwilini. Mwenyezi MUNGU hana ubinafsi , binadamu atatamba na dunia hii lakini kwa mwenye busara , sio sababu ya kuhemuka mpaka kila MTU anakuona hamnazo. Shame upon materialistic individuals ambao they never think beyond their noses . hao ndio huwa wanatumia nafasi zao kulimbikiza Mali ambazo hawahitaji katika maisha yao hatimae ni ubatili mtupu. Kwa MTU mnyenyekevu kwa dhamira yake asingekuwa na kauli zile ,eti katolewa jalalani. Kumbe ELIMU bila maarifa ni ubatili mtupu chini ya jua. Sisi huku alikotoka tunakula na kusaza na usingizi Wa pono yeye ahangaike kulamba viatu tu, sana ni kuzeeka kabla ya siku, haoni aliyemteua anavyolalamika na sura imeshajikunja kuliko mkulma au mfanyakazi Wa kawaida wa umri wake?Ndipo hapo nakumbuka usemi ule ," watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa."
 
Ndio maana Airtel wamekuwa wezi transactions zao siku hizi hazikamiliki zinakuwa pending yani serikali inapotia maguu yake tu kwenye kampuni za kishindani baaasi hiyo kampuni ni eidha itakosa wateja au itakuwa ya kiwizi.
 
Unamkumbuka Kabudi kwenye saga la kumuzia mkenya korosho tani 100,000.
Unakumbuka kauli ya Mwakyembe kuhusu ndoa za wasio na vyeti.
Unakumbuka kauli ya Abasi wakati unafungia magazeti.
PhD ya kabudi, PhD ya Mwakyembe na PhD ya abasi msemaji wa serikali ni zakuangalia upya. Sio bure.
Mwanaume mwenye uwezo wa kumuambia mkeo njoo huku nina hamu unajidhalilisha kama vile huwezi kunanihii
Umesahau na Phd ya jiwe kuwa nayo ni ya dukani
 
Victoire mimi nilidhani wewe ni yule mpinzani wa Kagame. Kumbe uko hapa hapa CBE tunapishana kwenye ma corridor. Duh
Sipo CBE mimi,ila nipo hapa hapa Dar.Wallah kumbe Kabudi na Mpango huwa wanatukanwa Pumba Vu na mheshimiwa Rais?Aisee mimi ningerudi chuo kufundisha na kuandika research proposal zangu.
 
Back
Top Bottom