Rais Magufuli awaapisha Waziri wa Viwanda na Biashara, Kamishna Mkuu TRA na RAS wa Njombe. Apokea gawio la Airtel la miezi mitatu, Tsh. Bilioni 3

Sipo CBE mimi,ila nipo hapa hapa Dar.Wallah kumbe Kabudi na Mpango huwa wanatukanwa Pumba Vu na mheshimiwa Rais?Aisee mimi ningerudi chuo kufundisha na kuandika research proposal zangu.
Nilikutega. Hata mimi sipo CBE.Ila tupo chama kimoja cha siasa
 
Mzee wa watu naona kama anajidhalilisha, anajinyenyekeza mpaka inaleta karaha, mara mimi masikini, mara nimetolewa jalalani, kwenye umasikini sifai kitu, nk

Kwa kariba ya nafasi aliyokuwa nayo kabudi Chuo kikuu mpaka hapo alipo anaongea kauli kama hizo, kweli...?
Hofu ya nini sasa ndugu? Huwaez kuwa na hofu kama haujitambui
 
Mzee wa watu naona kama anajidhalilisha, anajinyenyekeza mpaka inaleta karaha, mara mimi masikini, mara nimetolewa jalalani, kwenye umasikini sifai kitu, nk

Kwa kariba ya nafasi aliyokuwa nayo kabudi Chuo kikuu mpaka hapo alipo anaongea kauli kama hizo, kweli...?
kabudi anatupa picha halisi ya wateule wa jiwe wenye elimu ngazi ya master degree na Phd.
 
Huyu jamaa mwenyewe ujiona mwerevu sana ila angekuwa. Naskia kwenye ule mkutano wao wa siri na barriks alitumia muda mwingi kuwalecture kuhusu human anthropology akidhani kufanya hivyo atasifiwa kuwa ni msomi angejua tu
 
Mzee wa watu naona kama anajidhalilisha, anajinyenyekeza mpaka inaleta karaha, mara mimi masikini, mara nimetolewa jalalani, kwenye umasikini sifai kitu, nk

Kwa kariba ya nafasi aliyokuwa nayo kabudi Chuo kikuu mpaka hapo alipo anaongea kauli kama hizo, kweli...?
Yaani ni tabu tupu huyu baba. Too low for a professor!
 
Kwani alivyokuwa UDSM hakuwa akila na kushiba? Yaani anajidhalilisha na kudhalilisha wanataaluma wote ambao wako vyuoni kuwa pale ni mahali dhalili. Kwani tangu aende uwaziri amejiongezea miaka mingapi ya kuishi kama sio ameipunguza kwa hofu SAA zote anaogopa kutumbuliwa. Hivi anataka kutuambia kuwa ukiwa Mwalimu chuo kikuu so chochote hadi uingie baraza LA mawaziri. Yaani anataka kutueleza kuwa wale tusiokuwa mawaziri tunaishi maisha ya kishetani na yeye ndio kafika peponi pale alipo? Hizo ni fikra za Mawazo finyu yake pamoja na kuwa msomi mbobezi. Sasa kwa taarifa yake inawezekana Mwalimu UDSM analala usngizi Wa Masaa 8 wakati yeye halali hata SAA 6 na muda wowote anapigiwa Simu na boss wake na pressure inapanda hata kama hana kosa. Mimi nilidhani kwa MTU kama yeye angesema anaimiss UDSM alipokuwa huru kuongea ya moyoni sio sasa hivi amekuwa robot ya rais . Akumbuke kuwa kwa wenye hekima angejua kuwa hata akilala 5 star hotel , raha anayopta yeye ni sawa na Mimi nikilala chumba changu self contain nyumbani kwangu au hata na asiye na nyumba akapanga chumba starehe ni ile ile. Akila mapochopocho ya 5 star hotel hatimae baada mummeng'enyo Wa chakula yeye yuko sawa na Mimi niliyekula nyama na wali au ngano au ugali na nimeunga mafuta. Maana hatimae wote tunapata wanga protini na mafuta na vitamin na madini yanayotakiwa mwilini. Mwenyezi MUNGU hana ubinafsi , binadamu atatamba na dunia hii lakini kwa mwenye busara , sio sababu ya kuhemuka mpaka kila MTU anakuona hamnazo. Shame upon materialistic individuals ambao they never think beyond their noses . hao ndio huwa wanatumia nafasi zao kulimbikiza Mali ambazo hawahitaji katika maisha yao hatimae ni ubatili mtupu. Kwa MTU mnyenyekevu kwa dhamira yake asingekuwa na kauli zile ,eti katolewa jalalani. Kumbe ELIMU bila maarifa ni ubatili mtupu chini ya jua. Sisi huku alikotoka tunakula na kusaza na usingizi Wa pono yeye ahangaike kulamba viatu tu, sana ni kuzeeka kabla ya siku, haoni aliyemteua anavyolalamika na sura imeshajikunja kuliko mkulma au mfanyakazi Wa kawaida wa umri wake?Ndipo hapo nakumbuka usemi ule ," watu wanaangamia kwa kukosa maarifa."
Yaan we acha tu. Mabeberu ni ujinga wetu na sio wazungu.....kwa akili kama hizi tusubili maendeleo 2500
 
Back
Top Bottom