Rais Magufuli awaambia wananchi wa Morogoro wajifunze kuchagua

Katika hali ya kushangaza Mh.Rais wakati akijibu swala la umeme kwanza ameuliza mbunge wa eneo husika na baada ya kujibiwa kuwa ni mpinzani.' naye kawajibu ''Mjifunze kuchagua'' Magufuli

Zile kauli za maendeleo hayana vyama zinakuwa na maana gani!??
Wenye kuelewa watafakari kelele zinazoendelea kuhusu wapinzani wakati wa mzungo huu wa safari za muheshimiwa.
 
Sio kweli kwamba sehemu zilizona wabunge wa upinzani ndio zenye kero tu. Kazi ya mbunge ni kutoa au kueleza kero za wananchi wake kwenye vyombo husika. Kero anazoweza kutatua kwa kuunganisha nguvu za wananchi hufanya ivyo. Kiongozi anapoelezwa matatizo ya wananchi akakimbilia kusema mbunge wa upinzani ni kukimbia kivuli chake. Wananchi tuwewaelewa tusilishwe matango pori. Majukumu ya wale wenye kapu la kodi zetu tunawajua.
 
Maendeleo hayana chama no kauli tuu kina baadhi ya mambo kama kiongozi hana ukaribu na watu was serikali mambo yatakwama tunaoba hayo kwenye udiwani hasa. In kwamba inapasa tujirekebishe lasivyo mambo yatajakuwa mabaya
 
Leo hii bado watu wanafundishwa kuchagua vyama?Lakini jambo linalofaa ni kumchaguwa mtu mwenye akili timamu badala ya lichama.
 
Back
Top Bottom