Rais Magufuli awaalika viongozi wakuu wastaafu wote. Kufanya nao mazungumzo Julai 03, 2018 Ikulu Dsm

Baba Jesca ana akili thana, :D:D:D:D. Kusanya wote kaa nao mezani, waseme waliyo nayo alafu akayafanyie kazi....ole amsikie mtu akipayuka huko nje bila utaratibu:p:p:p

Baba J, nakuaminia papaaa!!!
Any positive results so far?
 
bado sisi wakina roho za kutu na sura mbaya kuitwa ikulu,ewe mtukufu JIWE usitusahau na siye,tumemic kula visheti na maji ya kilimanjaro hpo magogoni..
 
Waziri mkuu mstaafu hana tofauti kubwa na waziri mkuu aliepo kazini...

Waziri Mkuu Mstaafu anatumia gari la serikali, mafuta ya serikali, Mlinzi wa serikali...analipwa mshahara asilimia 80 ya aliepo kazini....
Ni sahihi kabisa.
 
Mhhhh!!!

Unaweza sikia ni kikao cha kubadilishana mawazo na kula chakula cha pamoja tu.

Huu huenda pia ni mkakati wa kujirudi baada ya kuona huko mbele kuna giza nene.

Leo kaanza na viongozi wa kisiasa alafu kesho au kesho kutwa akutane na viongozi wa dini-mpango mkakati.
kuna tetesi kwamba anataka kuomba radhi
 
Kufunga mikono ni ishara ya unyenyekevu.....nahesabu.....
 
Back
Top Bottom