Rais Magufuli awaalika viongozi wakuu wastaafu wote. Kufanya nao mazungumzo Julai 03, 2018 Ikulu Dsm

Mhhhh!!!

Unaweza sikia ni kikao cha kubadilishana mawazo na kula chakula cha pamoja tu.

Huu huenda pia ni mkakati wa kujirudi baada ya kuona huko mbele kuna giza nene.

Leo kaanza na viongozi wa kisiasa alafu kesho au kesho kutwa akutane na viongozi wa dini-mpango mkakati.
sasa nini mawazo yako hasa
 
Waliokaa pembeni
Msuya-- hivi tumeitiwa nini.
Salim - sijui atasema nn juu yangu
Ndugai - ndiyo yale yale yanaondelea, pengine atapewa onyo , asimamie chama, na watamuuliza Makinda uzoefu wake .. Hakuridhika swala la korosho.
Mwinyi - Yeye ndio mwenye madaraka
Mkapa - Haya nayajua, nyinyi ndio hamjui
Malecela - yangu macho, nilishakubali yaishe.
Bilal - sidhani kuna lolote kwangu, ngoja niyasikie ya wengine.
Warioba - Kimya chafaa awamu hii
Sumaye - Sijui niseme, nitaangalia upepo
Lowassa - Yangu nilishamaliza nilipokuja peke yangu
Pinda - Mimi kwa kweli, nilishamuachia Mungu, nalima tu
Karume - Kila awamu ina mambo yake

Ukitazama , hakuna anayetaka kuwa shahidi au kunukuliwa kwa jambo au tetesi yoyote , wanajua nini maana ya mamlaka.

Kwa asilimia kubwa wengi wao, waliwahi kujaribu kuwania, kujaribu kutafuta kukalia kiti cha huyo aliyewaita.
Wanaelewa hicho kiti kina mamlaka makubwa sana.. Wako waangalifu sana ..
 
Nikiwa Rais
Ikulu kila siku sherehe
Nafanya kila kitu kama njeree
Hawanitishi mim ndyo baba yenu shehe

Sasa magu ulishachelewa
 
Fisadi Lowassa atafarijika kukanyanga ikulu kwa mara nyingine
Unadhani ana njaa kama nyie na Majaliwa wenu mnao ambiwa angewafuta kazi wote ili mnyooke na korosho zenu? Mchukie mpende lakini ndiye aliyefanya jiwe lenu lipinduke sarakasi na push up kasha kusaidiwa na Lubuva
 
Jamaa linavuruga nchi, linajishuku shuku, linaona labda wanaliona linavuruga nchi wasiliunge mkono, linawaita ikulu kuwasikilizia wana mtazamo gani, ropo ropo mwaka wa tatu sasa
Nimechekana sana. Anaonekana ametambua kuwa anavuruga. Naangalia hata jinsi alivyohangaika kuelezea Justification ya kumwondoa Mwigulu. Ni kama vile anaona mbele kuna SHIDA.
 
Atakayemuona JK anitag
Huyo hapo mzee wa Msoga.....
IMG-20180702-WA0021.jpg
 
Rais Magufuli amewaalika viongozi wakuu wastaafu wote. Kufanya nao mazungumzo leo Julai 03, 2018 Ikulu Dar Es Salaam.

Mwaliko huu unawahusu Marais, Makamu wa Rais, Mawaziri Wakuu, Maspika na Majaji Wakuu.

Hii ni mara ya kwanza kwa viongozi hao kukutana na Rais Ikulu.

Tazama TBC1 kuanzia saa 4:10 asubuhi hii.

Update yote ya kitakachojiri utaipata hapa hapa kwenye hii thread.

======

UPDATES:

View attachment 801254 View attachment 801255
Baadhi ya Viongozi Wastaafu wameshawasiri.


=> Matangazo ya Mkutano wa Mhe. Rais Magufuli na Viongozi Wakuu Wastaafu yatawajia muda sio mrefu.

Tunaomba radhi kwa kuchelewa.
JK hapendi ujinga, kaingia zake mitini!
 
Back
Top Bottom