CalvinKimaro
JF-Expert Member
- Sep 11, 2017
- 244
- 312
sasa nini mawazo yako hasaMhhhh!!!
Unaweza sikia ni kikao cha kubadilishana mawazo na kula chakula cha pamoja tu.
Huu huenda pia ni mkakati wa kujirudi baada ya kuona huko mbele kuna giza nene.
Leo kaanza na viongozi wa kisiasa alafu kesho au kesho kutwa akutane na viongozi wa dini-mpango mkakati.