Rais Magufuli avuruga wengi

Shauri yake kama ni mgonjwa anaibaje? Au hajui sheria za mikataba ? WATUMBULIWE TU MAANA HAKUNA NAMNA NYENGINE
Mkuu ukitaka kushindwa kufanya kazi, wasikilize watanzania, ukitumbua watasema, usipotumbua watasema!! Ndio maana namkubali Mkapa alipoita baadhi ya watz ambao ndio wengi kwa maoni yangu kuwa ni wapumbavu na malofa
 
KWA SHERIA ZA KAZI UKISIMAMISHWa unalipwa kama kawa. Sasa akibainika ni msafi ssi atatafutiwa kazi ingine bana.
 
Na yeye karibu atumbuliwe ndio maana ana wasi wasi... Mangapi alisema yakaishia hewani tu ....... Hana power
 
mkuu hapa huyu anaongelea ile style iliyotumika, ya Makonda kwenda kumuambia Magufuli pale kwenye uzinduzi na Magufuli kumsimamisha jamaa palepale hadharani (kama vile maneno ya makonda ndio kila kitu)
anaweza akawa ana makosa ila technically haikuwa sawa
maana unaweza fanya hivi ukakuta mtu hakuwa na kosa sometimes
 
Ila kweli jamaa anavofanya km sifa tuu Kuwaonyesha watu sheria zifatwe naunga mkono hoja
 
Huyo Bi Simba ni jipu liloiva kwani tangu miaka ya 1980's ni Mkurugenzi tu wa LHRC as if hakuna wengine wenye sifa na at the same time anasisitiza kwenye katiba mpya mbunge au kiongozi wa umma asikae madarakani muda mrefu. Riport zao daima huwa ni za kuwatekenya wafadhili wao walete hela kwani bila hivyo wanasitisha mikataba na kupeleka nchi nyingine yenye matatizo.
 
Sheria zinatungwa ili zilete haki na usawa kwa wote. Kama suala ni sheria basi yafanyike marekebisho ili ziendane na kasi iliyopo huku zikilinda haki. Hali ilivyo sasa inachochewa na mianya inayopatikana kwenye sheria hizo hizo. Hakuna haja ya kuwa na sheria zinazoumiza wengi.

Huyu Bisimba yupo kazini na anawekwa mjini na hicho anachokiita kutetea "haki". Lakini anafahamu fika kwamba uhuru wa bunge una mashaka kidogo na haliwezi kutunga sheria zinazolinda tabaka tawaliwa. Mi naomba Mheshimiwa aongeze kasi kidogo.
 
Wanao muunga mkono bisimba nao ni majipu hiv nan anahaki anayedhurumu haki ya wenogi anahitaji haki zake zip hebu tuache ujinga wa wazungu kwetu haki za kibinadamu kwao wanakabana hebu tubadilike wafrika tuache ujinga
 
Naunga mkono!
 
Mafisadi wana nguvu...siyo wa kuwaendea kichwa kichwa Magufuli ana kazi ya ziada.Mungu ibariki Tanzania.
 
Wanao muunga mkono bisimba nao ni majipu hiv nan anahaki anayedhurumu haki ya wenogi anahitaji haki zake zip hebu tuache ujinga wa wazungu kwetu haki za kibinadamu kwao wanakabana hebu tubadilike wafrika tuache ujinga
Jenga hoja wacha kua kioja
 
mkuu nisamehe buree ila m nikiona tu jina la edo...akili yangu huwa inawazo tofauti hvyo sijaisoma kabisa hii taarifa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…