Poise
JF-Expert Member
- May 31, 2016
- 7,633
- 7,902
Kwa mantiki hiyo Prof muhongo asingeondolewa kwa sababu za matokeo Tume.
Kwa vile Rais anayo mamlaka ya kuteua na kutengua basi angefanya mabadiliko madogo ya Baraza la Mawaziri na kumtengua Prof kwa heshima tu na si kwa kumhusisha na hii kashfa.
Kwa nini Naibu Waziri naye asitenguliwe maana wale walikuwa ni team moja. Mbaya zaidi Naibu Waziri ndiye aliyekuwa Mwanasheria wa Wizara kwa Kipindi ambacho mikataba ilikuwa inafanyika? Ukiitaka kusafisha nyuma unafagia vyumba vyote.
Binafsi, ningeongea na rais, ile wizara yote ingeodolewa hadi wafanyakazi wa kawaida.
Wizara ile imeoza, majibu yao wote ni "stupid answers"