Rais Magufuli atweet asubuhi hii kuhusu Mradi mkubwa

hivi mradi huu ulianza kwa kikwete au kwake? lipi jipya la kwake amelifanya zaidi ya hostel za udsm 20 kwa bilioni 10 tunapotakiwa kuwapeleka watoto wetu wakalale hapo wakati watoto wao hawawapeleki pale bali ulaya? na imebaki only two years, ataonyesha nini? makontena ya mchanga?
Mradi u!esainiwa juzi tu kipindi chake vilevile kuna !mambo kafanya mfano kufufua atcl
 
Mradi u!esainiwa juzi tu kipindi chake vilevile kuna !mambo kafanya mfano kufufua atcl
tumpongeze kwa kweli. ila nakumbuka kuna kipindi kikwete hadi alienda ufaransa kurobi huu mradi kama sikosei, na tulipambana sana na wakenya kipindi cha kikwete. OK, Mungu amsaidie rais wetu.
 
tumpongeze kwa kweli. ila nakumbuka kuna kipindi kikwete hadi alienda ufaransa kurobi huu mradi kama sikosei, na tulipambana sana na wakenya kipindi cha kikwete. OK, Mungu amsaidie rais wetu.
Kiukweli rais anafanya kazi kubwa tu.cha msingi nikumuunga mkono Kwa kufanya kazi na kutumia fursa zinazojitokeza
 
Kuibiwa nini?Ardhi tu ndio mchango wetu ambayo watu watalipwa fidia mafuta ni ya Waganda!
Tunalipwa per barrel zitakazopitishwa, hivyo wakapitisha barrel 100 then waka under-declare na kusema wamepitisha 10 maana yake wametuibia. Pia mchango wetu si ardhi tu, ni zaidi, hii nchi ina amani inayolindwa kwa gharama kubwa sana, hivi tungekuwa kama Somali hilo bomba lingepitishwa?!, hii amani ni lazima wailipie kwani mishahara ya wanajeshi na polisi tunaigharamia mno! Hii nchi ina administrative costs (kuendesha serikali), bila hii serikali wangeingia mkataba na mtz mmoja mmoja au miti? Ni lazima wagharamie cost za ku-admnister hiyo mikataba. Think big
 
Back
Top Bottom