Awamu ya nne walikuwa wakitumia mahoteli makubwa na kuingia gharama zisizo za lazima. Issue iko hapo.Ulitakaje labda?
Kwani hiyo Ikulu ndogo ilikuwa kwa ajili ya Rais au kufugia mbuzi?
Nyie kuna siku mtamsifia hata akiingia chooni
Comments zako zinachekesha sana mkuu yani very short kama umewekewa limit ya kuandika vileHuyu ndiye magufuli bana.
Hapo ndo shida imapokuja old school vs new schoolKumbuka Chakaza uwe na adabu kwa Rais, hata kama humpendi nyamaza...usitaje ovyo ovyo kuwa Rais anaingia ...huo sio utamaduni wa kiafrika. Kuna namna ya kutamka hayo uliyosema...sijui nyie vijana wa siku hizi mkoje, hamna adabu kabisa. kwa kweli inaudhi sana. Mnaifanya nafasi ya Rais ionekane kuwa ni nafasi ya mzaha mzaha.
Chakaza,taarifa zilizopo ni kwamba State Lodge yetu ya Arusha ilikuwa haitumiki.Raise aliyepita alikuwa akilala kwenye hotel za kifahari na kupoteza fedha za walipa kodi.JPM amekataa utaratibu huo.Kwani hiyo Ikulu ndogo ilikuwa kwa ajili ya Rais au kufugia mbuzi?
Nyie kuna siku mtamsifia hata akiingia chooni
Kweli huu ni wakati wa mabadiliko nchini mwetu, picha kama hizi sikuwahi kuziona huko nyuma za Raisi wa nchi kutumia Ikulu zetu ndogo za Mikoani kwa shughuli za kiserikali!
Kama inavyoonekana pichani chini Raisi Magufuli akiwa na mgeni wake wa Raisi Museveni waUganda aliyewasili mjini Arusha kwenye mkutano wa AM!
HAPA KAZI TU!
Mwambieni akalale barabarani kabisa ili msifu vizuri!! Washenzi nyie nini maana ya Ikulu?
Ekspiliens yangu ya four star hotels nilipata kwa kudandia safari za watu. Kweli majipu yanatumbuliwa. Toka maghufuli aingie sijapata pa kudandia. Wanaenda kumbi za mikutano za ofisiKwa mwendo huu lazima tutafika tunapo pataka! Waheshimiwa Mawaziri wote na viongozi wote wa taasisi za Umma badilikeni tubane matumizi hakuna sababu ya kulala au kufikia ktk Hotele za gharama kubwa, nchi yetu bado masikini,
Hayo uliyoyataja ni matunda ya utawala wa CCM.Kumbuka Chakaza uwe na adabu kwa Rais, hata kama humpendi nyamaza...usitaje ovyo ovyo kuwa Rais anaingia ...huo sio utamaduni wa kiafrika. Kuna namna ya kutamka hayo uliyosema...sijui nyie vijana wa siku hizi mkoje, hamna adabu kabisa. kwa kweli inaudhi sana. Mnaifanya nafasi ya Rais ionekane kuwa ni nafasi ya mzaha mzaha.