Rais Magufuli ateua Wakuu wa Mikoa, Makonda apangiwa Dar

Ilitakiwa wawe wangapi,safu kuu ya uongozi chadema ukiacha mwenyekiti wa bawacha wanawake wapo wangapi?...je unaamini katika kuwa mwanamke au uwezo?
 
Unataka kusema na hao watano wameteuliwa sababu ya jinsia yao na sio uwezo?
 
wagalatia/wakatoliki katika ubora wao wa kuchaguana acha wajazane
Ni jambo la kutizama kwa karibu, limeanzia kwenye level ya uwaziri, imeshuka mkoa, bado wilaya,mabalozi, wakurugenzi?
Dalili ya mvua...!
 
Ilitakiwa wawe wangapi,safu kuu ya uongozi chadema ukiacha mwenyekiti wa bawacha wanawake wapo wangapi?...je unaamini katika kuwa mwanamke au uwezo?
Mkuu kwani safu ya uongozi wa CCM imekaaje? Isitoshe hakuna maana ya kufananisha chama na muundo wa serikali
 
Back
Top Bottom