Crimea
JF-Expert Member
- Mar 25, 2014
- 25,000
- 33,682
Mmeanza kubweka... Mwambieni lowassa awachagulie wa kwenu..Hahaha ndio maana Dr Riyoba alikuwa anajitoa ufahamu.Wasomi siku hizi A waita B ili wapewe vyeo.
Pumbavuuu
Mmeanza kubweka... Mwambieni lowassa awachagulie wa kwenu..Hahaha ndio maana Dr Riyoba alikuwa anajitoa ufahamu.Wasomi siku hizi A waita B ili wapewe vyeo.
Dkt Ayub namfahamu muda mlefu sana, ni mwanahalakati wa siku nyingi sana, alikuwa mwandishi kwenye gazeti la Rai baadaye lilivyouzwa na akina Jenelali Ulimwengu, akaja nae gazeti la Raia mwema, ni mchapa kazi, lakini atapata miongozo toka kwa MACCM, akiendeleza uanahalakati wata MTIDO MUHANDO.Rioba anaweza kabisa. Tumpe muda ataleta mabadiliko makubwa
Acha kubweka mkuu ulitaka akae naniAyubu Ryoba sasa ndio unaingia rasmi kwenye fitna za kisiasa , kwa sasa TBC ndiyo sehemu iliyobaki inayoweza kumshusha mtu kutoka juu na kumporomosha kwa kasi mpaka kufikia hadhi ya katibu kata .
Ni katika kujaribu kuavoid kuteua mafisadi waliopo kwy lile dude,most of academicians are still clean hadi waingie kwy system, look at Dau!Msio na PHD rudini darasani otherwise subirini 2025.
hivi ccm unaijua au unaisikia ? muulize Tido Mhando , enzi zake tbc ilikuwa bomba kinyama , sasa hivi imebaki kurusha harusi za wasela , na kuna tetesi hivi karibuni itaanza kuonyesha mazishi live .Acha kubweka mkuu ulitaka akae nani
PointHii idea ya kuwapa Academician (hasa Proffesors) nafasi nyeti serikali sikubaliani nayo kabisa wengi wao huwa wanachemka sana.Kuna vijana wa kitanzania wamefanya vizuri sana kwenye private company (TBL,TCC,Vodacom,Airtel,Tigo,Coca Cola,Acacia )ni wakati sasa waaminiwe,Makonda ameonyesha mfano
You're right!Hii idea ya kuwapa Academician (hasa Proffesors) nafasi nyeti serikali sikubaliani nayo kabisa wengi wao huwa wanachemka sana.Kuna vijana wa kitanzania wamefanya vizuri sana kwenye private company (TBL,TCC,Vodacom,Airtel,Tigo,Coca Cola,Acacia )ni wakati sasa waaminiwe,Makonda ameonyesha mfano
Hamna ukweli katika hili, wacha hisia!ni kwel mkuu?? kwa hyo neema imeongezeka nyumbani?? kama ni kweli cjui kwenye zile kamati za bunge, wakienda kukagua wakakuta madudu halafu kwenye kiti akawepo dr,.. nawaza tu
Huyu ndiye mume wa naibu speaker,yupo TPDC.Mume wa Mh. si Andilile Mwainyekule?
Riona ndio nani?Riona hajateuliwa kwa saabu ya uanaharakati wake bali kutokana na utendaji wake
Wanaoponda Udini Eng Dr Mgwatu ni ustadhi, President nadhani anaangalia utendaji na uadilifu, Eng Dr Mgwatu ni mzalendo, mwadilifu na ana hofu ya mungu, na kwa kuwa ameoa Tabora basi shirika la reli limepata mwenyewe, all the best mwalimu wangu
Usiumize kichwa ktk hilo wewe pitia cv ya jpm tu utapata jibu la swali lako.Huyu magufuli kwa nini anateua maprof na madk Wa UDSM TUU...
Hizoo nafasi zote wamepewaa maprof&Dr Wa Udsm ebu tujue nini mtazamoo akoo. ...
Jeee waamini katka mapro&drs..?
Jee wawalipa fadhila, upendeleo jamaa zako ambao ni lecture pale Udsm...?
Pia tunatambua kama kufanyaa hivii hufanyaa waache kazii zao kitalaam na kuzamia kwny siasa mifanoo IPO telee ....
Hii idea ya kuwapa Academician (hasa Proffesors) nafasi nyeti serikali sikubaliani nayo kabisa wengi wao huwa wanachemka sana.Kuna vijana wa kitanzania wamefanya vizuri sana kwenye private company (TBL,TCC,Vodacom,Airtel,Tigo,Coca Cola,Acacia )ni wakati sasa waaminiwe,Makonda ameonyesha mfano
Msio na PHD rudini darasani otherwise subirini 2025.
Ni katika kujaribu kuavoid kuteua mafisadi waliopo kwy lile dude,most of academicians are still clean hadi waingie kwy system, look at Dau!
Shikamoo JPM!