Rais Magufuli ateua Wakurugenzi wa Halmashauri za Majiji, Manispaa, Miji na Wilaya za Tanzania Bara


Emma.

Emma.

JF-Expert Member
Joined
Jun 25, 2012
Messages
19,921
Likes
2,987
Points
280
Emma.

Emma.

JF-Expert Member
Joined Jun 25, 2012
19,921 2,987 280
Wana JF,

Raisi wa Tanzania, John Pombe Magufuli (JPM) ameteua wakurugenzi wapya kuanzia tarehe 07.07.2016.
=============

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 07 Julai, 2016 amefanya uteuzi wa wakurugenzi wa halmashauri za majiji 5, Manispaa 21, Miji 22 na Wilaya (DC) 137 za Tanzania Bara.

Uteuzi huo umetangazwa na Katibu Mkuu Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Mhandisi Mussa Iyombe ambapo kati ya wakurugenzi vote 185 walioteuliwa, 65 wameteuliwa kutoka orodha ya wakurugenzi wa zamani na 120 ni wakurugenzi wapya.

Orodha ya wakurugenzi walioteuliwa kulingana na mikoa yao ni kama ifuatavyo;

img-20160707-wa0088-jpg.363840

2-jpg.363880

3-jpg.363881

4-jpg.363888
 
Ngaliba Dume

Ngaliba Dume

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2010
Messages
1,657
Likes
2,211
Points
280
Ngaliba Dume

Ngaliba Dume

JF-Expert Member
Joined Oct 6, 2010
1,657 2,211 280
Majina mengine ni..

5-jpg.363890
6-jpg.363891
7-jpg.363892
8-jpg.363893
 
Mkwere Sumbawanga

Mkwere Sumbawanga

JF-Expert Member
Joined
Sep 28, 2015
Messages
658
Likes
454
Points
80
Mkwere Sumbawanga

Mkwere Sumbawanga

JF-Expert Member
Joined Sep 28, 2015
658 454 80
safu ya hapa kazi tu imekamilika sasa tunatarajia maendeleo kwa kasi ya mwendo kasi
 
moshi vijijini

moshi vijijini

JF-Expert Member
Joined
May 14, 2015
Messages
3,349
Likes
1,179
Points
280
Age
24
moshi vijijini

moshi vijijini

JF-Expert Member
Joined May 14, 2015
3,349 1,179 280
Kazi tuu ....tuijenge nchi
Ccm imara uongozi imara
 
J

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Messages
13,701
Likes
11,481
Points
280
J

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined May 27, 2014
13,701 11,481 280
Hawa sasa ndio watendaji elimu muhimu
 
D

Descartes

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2013
Messages
2,769
Likes
1,166
Points
280
D

Descartes

JF-Expert Member
Joined Jul 24, 2013
2,769 1,166 280
Binafsi, ngoja nichane bango tu. Japo ujumbe nimeusoma.

Hivi ajira mpya serikalini zilisitishwa rasmi mwezi uliopita hadi wafanyakazi hewa wote wapukutishwe.

Hawa wanaoteuliwa sio watumishi wa umma au ni kada wa kisiasa...?
 
K

kiliochangu

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2012
Messages
1,161
Likes
837
Points
280
K

kiliochangu

JF-Expert Member
Joined Feb 23, 2012
1,161 837 280
Jamani ni vigezo gani vinatumika, mpaka stage hii sina sifa kweli au
 
Prince Kunta

Prince Kunta

JF-Expert Member
Joined
Mar 27, 2014
Messages
11,551
Likes
9,947
Points
280
Prince Kunta

Prince Kunta

JF-Expert Member
Joined Mar 27, 2014
11,551 9,947 280
Makada vipi wameingizwa?
 
jingalao

jingalao

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2011
Messages
27,038
Likes
17,756
Points
280
jingalao

jingalao

JF-Expert Member
Joined Oct 12, 2011
27,038 17,756 280
Rais ameteua wakurugenzi wa majiji,miji na halmashauri.

Uteuzi huo umetangazwa leo hii na Katibu mkuu TAMISEMI.

Jina la mkurugenzi wa manispaa ya Dodoma limeondolewa na ataendelea na kazi yake ya U-DC kama alivyoteuliwa awali.


SOURCE:TBC
 
mfarisayo

mfarisayo

JF-Expert Member
Joined
Nov 23, 2010
Messages
5,067
Likes
420
Points
180
mfarisayo

mfarisayo

JF-Expert Member
Joined Nov 23, 2010
5,067 420 180
Hatimaye Mama Siporah kakumbukwa mama huyu kakumbana na vikwazo sana kutokana na msimamo wake mkali wa kupinga ufisadi akatupwa benchi tamisemi sasa kakweza mahali palipo juu zaidi
 
comred

comred

JF-Expert Member
Joined
Jan 17, 2011
Messages
1,405
Likes
1,019
Points
280
comred

comred

JF-Expert Member
Joined Jan 17, 2011
1,405 1,019 280
Dada Sipora Liana..
Hongera sana kwa kuwa Mkurugenzi wa Jiji la Tanzania/DSM
Msimamo wako na utendaji wako shupavu (Kumgomea ex-RC Mulugo akiwa Arusha,kutoa million 100tshs) tokea ukiwa jijini Arusha to Tabora
sasa upo JiJini Tanzania..

Hongera sana Dada yetu..
 
jingalao

jingalao

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2011
Messages
27,038
Likes
17,756
Points
280
jingalao

jingalao

JF-Expert Member
Joined Oct 12, 2011
27,038 17,756 280
Ndenjembe ameteuliwa kuwa DC wa kongwa.
 
jingalao

jingalao

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2011
Messages
27,038
Likes
17,756
Points
280
jingalao

jingalao

JF-Expert Member
Joined Oct 12, 2011
27,038 17,756 280
Timu inazidi kukamilika naona sura mpya za kutosha hapo...it is a new system
 

Forum statistics

Threads 1,237,973
Members 475,809
Posts 29,308,469