Rais Magufuli ateua Wakurugenzi wa Halmashauri za Majiji, Manispaa, Miji na Wilaya za Tanzania Bara

Emma.

JF-Expert Member
Jun 25, 2012
19,935
5,558
Wana JF,

Raisi wa Tanzania, John Pombe Magufuli (JPM) ameteua wakurugenzi wapya kuanzia tarehe 07.07.2016.
=============

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 07 Julai, 2016 amefanya uteuzi wa wakurugenzi wa halmashauri za majiji 5, Manispaa 21, Miji 22 na Wilaya (DC) 137 za Tanzania Bara.

Uteuzi huo umetangazwa na Katibu Mkuu Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Mhandisi Mussa Iyombe ambapo kati ya wakurugenzi vote 185 walioteuliwa, 65 wameteuliwa kutoka orodha ya wakurugenzi wa zamani na 120 ni wakurugenzi wapya.

Orodha ya wakurugenzi walioteuliwa kulingana na mikoa yao ni kama ifuatavyo;

IMG-20160707-WA0088.jpg

2.jpg

3.jpg

4.jpg
 
Rais ameteua wakurugenzi wa majiji,miji na halmashauri.

Uteuzi huo umetangazwa leo hii na Katibu mkuu TAMISEMI.

Jina la mkurugenzi wa manispaa ya Dodoma limeondolewa na ataendelea na kazi yake ya U-DC kama alivyoteuliwa awali.


SOURCE:TBC
 
Hatimaye Mama Siporah kakumbukwa mama huyu kakumbana na vikwazo sana kutokana na msimamo wake mkali wa kupinga ufisadi akatupwa benchi tamisemi sasa kakweza mahali palipo juu zaidi
 
Dada Sipora Liana..
Hongera sana kwa kuwa Mkurugenzi wa Jiji la Tanzania/DSM
Msimamo wako na utendaji wako shupavu (Kumgomea ex-RC Mulugo akiwa Arusha,kutoa million 100tshs) tokea ukiwa jijini Arusha to Tabora
sasa upo JiJini Tanzania..

Hongera sana Dada yetu..
 
Timu inazidi kukamilika naona sura mpya za kutosha hapo...it is a new system
 
Back
Top Bottom