Rais Magufuli ateua Posta Masta Mkuu

Rais Magufuli ateua Posta Masta Mkuu

Ndio katiba yetu hiyo, tutafanyaje sasa
..hakuna namna nyingine ya kuteua posta masta mkuu zaidi ya kusubiri uteuzi wa Raisi?

..Je, nafasi hiyo ni nyeti kiasi kwamba lazima uteuzi ufanywe na Raisi na amiri jeshi mkuu?

Loyalty To country Alyways,To government When it deserves
 
Miaka 4 bado anapanga kikosi tu, tena hapo usikute usiku hakulala hakichambua majina
 
Back
Top Bottom