Rais Magufuli ateua Mwenyekiti Bodi ya Wakurugenzi Shirika la Nyumbu

Vitalis Konga

Senior Member
Sep 22, 2018
127
231
IMG-20181204-WA0025.jpeg
 
hivi hili shirika lipo duuu! sasa kuweka wanajeshi kwenye bodi ni kuliua kabisa! litageuka karakana! watajazwa wanajeshi raia wataondolewa! hapo ndipo litakapopotea mazima na kugeuzwa service bay! research center kujaza wanajeshi ni shida
 
Siku zilikuwa zimepita bila uteuzi! Hatujazoea kwa awamu hii
 
hivi hili shirika lipo duuu! sasa kuweka wanajeshi kwenye bodi ni kuliua kabisa! litageuka karakana! watajazwa wanajeshi raia wataondolewa! hapo ndipo litakapopotea mazima na kugeuzwa service bay! research center kujaza wanajeshi ni shida
ULITAKA WAWEKE MA NURSE??
 
Back
Top Bottom