mmakondehuru
JF-Expert Member
- Sep 25, 2016
- 385
- 149
Kuna habari kuwa DCI ametenguliwa uteuzi wake.
Over!
Kuna habari kuwa DCI ametenguliwa uteuzi wake.
Yaa kuna yule kiongozi wa paleMagufuli, tafadhali tupia jicho mahakama ya mkoa wa Morogoro. Imeoza. Uwezo mdogo wa mahakimu na rushwa zaidi. Haki HAKUNA.
Over!
Yaani una mawazo mgando tu ndugu yangu...uliza kabla ya taarfa hii...Raisi alitembelea wapi na aliona nini na akaamua kuchukua maamuz hayo...!?Ukute ni kwa sababu wanaharakati na Wanasiasa wa Upinzani wameshinda kesi nyingi mahakamani na yeye kuona DCI na timu yake wameshundwa kupika ushahidi.
Hauna adabu kwa wazee wewe!Hapo anatafutwa mtu kama Mrisho Gambo atateuliwa mtu mnafiki.. Apewe yule mwenyekiti wa NEC yule mzee
Yaa kuna yule kiongozi wa pale
Aneyepika Sanaa za ccm kisiasa ni nani?mbona sanaa zao ni za kishamba sanaUkute ni kwa sababu wanaharakati na Wanasiasa wa Upinzani wameshinda kesi nyingi mahakamani na yeye kuona DCI na timu yake wameshundwa kupika ushahidi.
Leo Raisi alifanya ziara ya kushtukiza kwenye ofisi za makao makuu ya Wizara ya Maliasili na utalii...ambapo ameenda stoo...amekuta Meno 50 ya tembo kama evidences za TUHUMA ZA UJANGILI...Ambapo watuhumiw wake mpaka leo bado wapo rumande...ETI UPELELEZI BADO HAUJAKAMILIKA...NA MWINGINE KABADILISHIWA KESI...ETI YA UMILIKI WA SILAHA KINYUME NA SHERIA...NA YOTE HAYO CHANZO NI DCI..Kwaio huenda kuna ka'connection na hao majangili...pia...ht hyo ishu ya kushindwa kesi nyingi za jamhuri...nayo huenda ikawa factor...Daaaah mkuu huyu atakuwa alidanganya.....
Kwenye vetting za baadhi ya wateule wa rais .......
Swala la kushindwa kesi nyingi kwa serikali nalo laweza kuwa tatizo....
Kwa Mara ya kwanza rais amefanya jambo la umakini .....
Siku zote tunatakiwa kupambana na chanzo cha tatizo sio tatizo.......
Professor james maguha nasikia sikia ndo anakuwa DCI mpya,kama ni kweli lile ni jembe sana
Nina adabu ila yule mzee anabeba mateso ya watu wengi sana hapa tzHauna adabu kwa wazee wewe!
Kwahiyo unataka akitumbua akuite mjadiliane kwa pamoja halafu ndio amtumbue mhusika?Teuzi na tenguzi za rais hazishurutishwi kutoa sababu.
Kwa sababu nyingine zinaendana na sababu za "usalama wa taifa" na watu wasio na security clearance Alpha 5 (hadhi ya five star general jeshini na kwenye vyombo vya usalama) hawapaswi kusikia.
In fact hata hiyo level kujua kama ipo ni classified info.
Hivyo Mtukufu Sana Rais John Pombe Joseph Magufuli akiteua au kutengua hakuna maswali wala mjadala.
Sheria ya kuuliza maswali na kujadili itatungwa baada ya muhula wake wa mwisho.
Wapi unapata hilo?Kwahiyo unataka akitumbua akuite mjadiliane kwa pamoja halafu ndio amtumbue mhusika?
Sentensi yako ya mwisho katika post yako niliyoquote!Wapi unapata hilo?
Wapi umeona kwamba nimeota kufikiri hilo?
Unajua kusoma?
A decription of reality does not say anything about the wishes of the person who is describing that reality.Sentensi yako ya mwisho katika post yako niliyoquote!
Mfano ulioutoa hauendani na kinachoonekana katika post yako.A decription of reality does not say anything about the wishes of the person who is describing that reality.
Nikisema bendera ya taifa ina rangi ya kijani, manjano, nyeusi na bluu hilo halina maana kwamba nataka rangi nyekundu iwe moja ya rangi za bendera hiyo.