Rais Magufuli ataja mafisadi akiwa anaongea na UVCCM

Mulhat Mpunga

JF-Expert Member
Oct 28, 2010
27,263
16,288


Mafisadi CCM hayajaisha, yapo na kila anayejaribu kulalamika anachukuliwa hatua.

Kuna mengine yalikimbilia upinzani.

Kuna Jengo la UVCCM kuna vyumba vya watu flani walipewa bure.

Hata Makao Makuu ya CCM kuna maeneo mengi na assets za chama zimeenda mikononi mwa mafisadi.

Sekretarieti: Nina orodha ya mali za CCM ambapo Wizara ya Ardhi wanajua mmiliki wa mali hizo ni CCM na madai tunatakiwa kulipia zaidi ya Bil 1.6; lakini zaidi ya 70% kuna vituo vya mafuta vya watu, kuna maduka ya watu n.k. Ninayo hiyo nyaraka, nitawashikia mahali pazuri.

Kama ni ujumbe, imekuwa SENT and DELIVERED.

Amewataka vijana waache kutumika; wasikubali kutumiwa na yeyote kwani wakati unaweka imani yako kwa huyu, kumbe anayekuja kushinda ni yule...
 
Yeye mwenyewe ni mmoja wa mafisadi wakubwa sana nchini, aache kudanganya umma kama vile yeye ni mtakatifu kumbe ni mwizi, muongo na fisadi mkubwa aliyejawa chuki na visasi vya kutisha.

upload_2017-6-13_14-5-10-jpeg.578942


 
Yeye mwenyewe ni mmoja wa mafisadi wakubwa sana nchini, aache kudanganya umma kama vile yeye ni mtakatifu kumbe ni mwizi, muongo na fisadi mkubwa aliyejawa chuki na visasi vya kutisha.

upload_2017-6-13_14-5-10-jpeg.578942
Siku hizi mtu akisema neon fisadi amekuwa na chuki? ha ha hivyo vijihela mlivyolipwa kusafisha watu vimewachanganya.
 
Rais wa Tanzania ,mzalendo namba moja kawasha moto uko ccm , Na kusema kuna Mali za watu wa nje zimesajiriwa kama za ccm ili zisaidiwe kulipa kodi, kumbe si za ccm, Na kasema repot nzima anayo anajua atawabana vipi,

Pia kasema hakatai pamoja Na mafisadi wabaya kukimbilia Upinzani lakin pia bado ccm kuna mafisadi,

Pitia video

 
Back
Top Bottom