Rais Magufuli asali kanisa la Wasabato(SDA) Magomeni

UNGANISHA DOTS
-------------------------
Jaji Mkuu wa Kenya - Maraga leo ameenda kanisa la wasabato - central church Nairobi na kusema aombewe.

Rais Magufuli leo ameenda kanisa la wasabato - Magomeni (lenye hadhi sawa na central church)

Jaji Maraga ndiye aliyeongoza jopo la kutengua ushindi wa Uhuru Kenyatta aliyekuwa haungwi mkono na Rais Magufuli.

Mnataka kubadili tena gia angani, au ndio ajira ili mradi mkono uende mdomoni?
 
Leo mheshimiwa Raisi wa Tanzania amehudhuria ibada katika kanisa la Waadventista wasabato lililopo magomeni mwembechai jijini Dar es salaam, pamoja na hayo amelishukuru kanisa hilo kwa maombi yake kwa taifa na huduma zake kwa jamii.

Admin naomba uedit kichwa cha thread, sio saisi ni Raisi
 

Attachments

  • TMPDOODLE1504359358396.jpg
    TMPDOODLE1504359358396.jpg
    28.4 KB · Views: 47
UNGANISHA DOTS
-------------------------
Jaji Mkuu wa Kenya - Maraga leo ameenda kanisa la wasabato - central church Nairobi na kusema aombewe.

Rais Magufuli leo ameenda kanisa la wasabato - Magomeni (lenye hadhi sawa na central church)

Jaji Maraga ndiye aliyeongoza jopo la kutengua ushindi wa Uhuru Kenyatta aliyekuwa haungwi mkono na Rais Magufuli.
Kwenda kanisani siyo hoja, hata waovu huenda na Nazi ya kanisa ni kupokea waovu waache uovu wao.
Kikubwa wenye mamlaka waache kuonea watu, Mara bomoaboa bila fidia haisaidii kwenda makanisani.
 
Imenibidi Kucheka kwa Sauti KUBWA! ati Wakenya!!! Muhahahahaha Wasabato wanafuata sana Uyahudi wa Yesu... kwa Kusali Siku hiyo kama Wayahudi wanavyofanya but wanafuata Ukristo Pia yaani wapo huku na kule Kwa Yesu wapo na Kwa wayahudi pia Wapo... but Wakenya ni Mchanganyiko wa Madhehebu kama Tanzania tu.
 
Hili swali na Mimi najiuliza kila siku sipati jibu. Hebu wajuzi Wa gospel tupeni ukweli ukiwa kiongozi unaruhusiwa kusali kila dhehebu lolote. Yaani tarehe 2 Sabato, 3 Catholic, 10 Moravian, 17 Lutheran, 24 Anglican, 31 unamalizia Full gospel fellowship?

ACHA nikae KIMYA...!
Kwani kuna MTU ambaye haruhusiwi kusali kanisa lolote? Kwani kusali kunahitaji ruhusa ya nani??
Wewe kuna sehemu huruhisiwi kusali?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jaji anajitambua. Sozinje hajitambui. Kesho atakuwa St. Peter's Osterbay. Hajui asali wapi!

Such a poor and hatred comment. You should be proud of H. E President Magufuli visit to a Church , May almighty God protect my beloved President.
 
Msabato wa kweli huwa hakereki kuona muumini wa dini nyingine akienda kusali kanisani hapo bali anafarijika kuona watu wanajirudi sabato. Sasa nashangaa wanaotoa mapovu kuona magu anasali sabato
Inashangaza maana Wasabato siyo Wakristo
 
Back
Top Bottom