Rais Magufuli aridhia maombi ya Jaji Prof. Ruhangisa kustaafu mapema

Chachu Ombara

JF-Expert Member
Dec 11, 2012
5,897
10,358
Mtakumbuka jaji huyu alipata mgawo wa Escrow kiasi cha tsh 404.2m kutoka kwa Rugemalira.

Je, ameusoma mchezo kuwa hapo mbeleni anaweza kuingia matatani kutokana na sakata la kupokea fedha chafu?

Naona kaamua kustaafu mapema na kuchukua kiinua mgongo chake.

IMG_1026.JPG
 
Bilashaka hii awamu itaongoza kwa idadi ya majaji kujiuzuru,ngoja tuone hadi mwisho wa awamu hii itakuaje.
 
Rais Magufuli aridhia maombi ya kustaafu mapema kwa Jaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania Prof. John Ruhangisa.


Chanzo : Mwananchi
6349084e815753d67d83cc996f770606.jpg
 
Wa
Bilashaka hii awamu itaongoza kwa idadi ya majaji kujiuzuru,ngoja tuone hadi mwisho wa awamu hii itakuaje.[/QUOTE
Na iwe hivyo tu mkuu. Ni aibu kwa jaji kupokea pesa chafu na akawa na guts za kuendelea na Ujaji, inashangaza wanaharakati walikaa kinya na TLS nao wakapiga kimya, waondoke tu.

Vv
 
Yumo kwenye listi ya Escrow, alikula milioni 404-si haba hata akistaafu. Huenda kaamua kujiuzulu ili jamaa amuonee huruma asiingie kwenye listi ya washtakiwa wa Escrow au rais kashawishi aondoke ili asiweze kuingilia mwenendo wa kesi za Escrow ulioanza kusikilizwa.
 
Back
Top Bottom