Mwana Mpotevu
Platinum Member
- Sep 7, 2011
- 3,295
- 2,500
Lete taarifa kwa ukamilifu!Rais Magufuli amekubali kujiuzulunkwa Jaji mwingine leo hii Jumanne 20 Juni.
Jaji Mwendwa Judith Malecela amekubaliwa kujiuzulu kuanzia leo. Sababu haijasemwa na Ikulu katika taarifa yake leo hii.
Mgiriki yupi?Kweli nimeamini Hii ni MELI YA MGILIKI
..hawaponi hawasalimikiKweli nimeamini Hii ni MELI YA MGILIKI
Nicheke nina mwanyaIKULU, DAR: Rais Magufuli, ameridhia ombi la Jaji wa Mahakama Kuu Mwendwa Judith Malecela kujiuzulu nafasi hiyo kuanzia siku ya leo.
Aondoke tu. Ameingia kwenye kumi za Anas nini?Sawa bwana tumesikia.Rais Magufuli amekubali kujiuzulu kwa Jaji mwingine leo hii Jumanne 20 Juni.
Jaji Mwendwa Judith Malecela amekubaliwa kujiuzulu kuanzia leo. Sababu haijasemwa na Ikulu katika taarifa yake leo hii.