Mwana Mpotevu
Platinum Member
- Sep 7, 2011
- 3,295
- 2,500
Rais Magufuli amekubali kujiuzulu kwa Jaji mwingine leo hii Jumanne 20 Juni.
Jaji Mwendwa Judith Malecela amekubaliwa kujiuzulu kuanzia leo. Sababu haijasemwa na Ikulu katika taarifa yake leo hii.
======
IKULU, DAR: Rais Magufuli, ameridhia ombi la Jaji wa Mahakama Kuu Mwendwa Judith Malecela kujiuzulu nafasi hiyo kuanzia siku ya leo.