Rais Magufuli apokea msaada wa Malori 2 ya kuzolea taka kutoka ubalozi wa Kuwait

Kwahiyo unataka usaidiwe matatizo yako yote kwa mara moja?

Mtu yeyote anayefikiria mambo katika "extremes" peke yake hana uwezo mzuri wa kufikiria na mara nyingi ni semi-literate (semi-literate kwa kuwa angalau unajua kusoma na kuandika). Kwani nikikuomba kela ya kula ukanipa nikasema mbona unanipa kidogo ina maana nataka unipe mamilioni? Kasome uelimike ujue kufikiria "out of the box".
 
Msaada hutakiwi kuuliza km ni kidogo huko ni kukosa shukrani.
 
Hayo magari ya kuzolea taka yapelekwe Lumumba makao makuu ya chama cha maharamia (ccm) yakazoe zile "taka" zinazoshinda pale zikipiga porojo.
 
Nadhani serikali ya Kuwait ilifurahishwa na mtukufu aliposema Saddam Hussein alikuwa raisi wa Kuwait mpaka wamempelekea magari ya kuzolea "taka" ikulu.
 
Kinondoni walipewa la msaada walipiwa vita hadi ikashindikana, Leo jamaa anayapokea kwa mbwembwe zote tena wakiwa mubashara kwenye rununu, huko inakoenda hats wakiwa wanakula tutakuwa tunaoneshwa mubashara
 
Back
Top Bottom