Chachu Ombara
JF-Expert Member
- Dec 11, 2012
- 6,042
- 10,786
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli leo amepokea msaada wa malori mawili ya kuzolea taka yaliyotolewa na nchi ya Kuwait, magari hayo yamekabidhiwa na Balozi wa Kuwait nchini Mhe. Jasem Ibrahim Al Najem alipofika kumtembelea.
Magari hayo yametolewa na Serikali ya Kuwait kwa lengo la kuunga mkono kampeni ya usafi hapa nchini.
Magari hayo yametolewa na Serikali ya Kuwait kwa lengo la kuunga mkono kampeni ya usafi hapa nchini.