Chachu Ombara
JF-Expert Member
- Dec 11, 2012
- 5,897
- 10,358
Inasikitisha sana. Wangekabidhi kwa diwani au meya. Rais abakie na mambo makubwa jamani
Utajiri.....kwa vigezo ganiMaajabu nchi tajiri inapewa msaada wamalori 2 na yanapokelewa na rais.
Hii ndio donor country tuliyoambiwa haihitaji misaada eeh.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli leo amepokea msaada wa malori mawili ya kuzolea taka yaliyotolewa na nchi ya Kuwait, magari hayo yamekabidhiwa na Balozi wa Kuwait nchini Mhe. Jasem Ibrahim Al Najem alipofika kumtembelea.
It was shamefully occasion President to received two lorriesRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli leo amepokea msaada wa malori mawili ya kuzolea taka yaliyotolewa na nchi ya Kuwait, magari hayo yamekabidhiwa na Balozi wa Kuwait nchini Mhe. Jasem Ibrahim Al Najem alipofika kumtembelea.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli leo amepokea msaada wa malori mawili ya kuzolea taka yaliyotolewa na nchi ya Kuwait, magari hayo yamekabidhiwa na Balozi wa Kuwait nchini Mhe. Jasem Ibrahim Al Najem alipofika kumtembelea.
Naunga hojaInasikitisha sana. Wangekabidhi kwa diwani au meya. Rais abakie na mambo makubwa jamani
Huo msaada ni size ya Meya.Aibu kubwa sana. Rais anapokea magari mawili ya kuzoa taka?
Si angemuomba Dewji amnunulie hata magari 10?