Mfamaji
JF-Expert Member
- Nov 6, 2007
- 6,631
- 1,926
Utendaji upi huo? Kufukuza watu kazini bila kupewa nafasi ya kujitetea ndio utendaji? Kila mtu anapaswa kujua kwamba mfanyakazi mmoja anategemewa na kundi kubwa sana la watu. Kuanzia kijijini hadi majirani achilia mbali familia. Mtu anafukuzwa kazi simply kwa sababu alikuwa anasubiri taasisi ifanye marekebisho ya mshahara wake kama ilivyokubalika akijariwa halafu unamfukuza kwa madai ya kukataa mshahara. Matokeo yake ni kuleta umaskini kwa huyo mhusika na wategemezi wake wote. Huo ndio utendaji alokuwa nao Nyerere?
Viongozi wa dini ni wapiga porojo tu mara wajiite manabii, sijui upako nonsense.
Viongozi wa dini ni wapiga porojo tu mara wajiite manabii, sijui upako nonsense.