thadeo Amani
Member
- Oct 22, 2016
- 16
- 17
Kwa michambo haujamboUlitaka atajwe baba yako mkoma wa vidole gumba?
Kwa michambo haujamboUlitaka atajwe baba yako mkoma wa vidole gumba?
Nionavyo, Wapiga kelee wakubwa ni hao hao ambao walifaidi sana zile enzi za kusafiri dunia nzima. Enzi ambazo mtu alichomolewa kokote na kupewa kuiongoza TRA. Hao ndo wapiga kelee, wanataka waendelee kuinuka juu kwa haraka sana! Huku chini akina sisi hatuoni tofauti yoyote ile.Mkuu una maanisha ni Bora tukose wote? Ninachojua Mimi ni kwamba hao uliowaja happy juu hadi wafike hatua waisome number, basi huku kwa wanyonge watakuwa wamesha maliza kuzisoma namba zote
Ni mchango upi Magu kautoa kwa africa?Huyu ni mwanamziki Wax Dey wa Cameroon akilitumia jina la Magufuli kama ishara ya matumaini ya Afrika. Tukubali sifa hizi na tujivunie kumchagua Magufuli badala ya kuzomea bila sababu.
Inawezekana uliipata indirect,sisi fundi ujenzi sometimes tulikuwa tunakuwa na kandarasi hadi tatu at a time,wale wa AC walikuwa wanafanyia service AC za hao jamaa kila mwezi,guess now what is happening!Nionavyo, Wapiga kelee wakubwa ni hao hao ambao walifaidi sana zile enzi za kusafiri dunia nzima. Enzi ambazo mtu alichomolewa kokote na kupewa kuiongoza TRA. Hao ndo wapiga kelee, wanataka waendelee kuinuka juu kwa haraka sana! Huku chini akina sisi hatuoni tofauti yoyote ile.
Sikuwahi kufaidi pesa ya vikao vya Dubai, sikuwahi kuhutubia mkutano kwa nusu saa na kupewa pesa ya siku 5 za kikao, sikuwahi kusafiri kwa siku 2 nje ya nchi na kupewa pesa ya siku 7. Leo hii nina nini cha kupigia kelele? Nyongeza ya mshahara niliyoiona ilikuwa ya elfu 32! Hiyo ndo niitafute kwa risala? Ili iweje?
Kwa ujumla mkuu wangu, siyo rahisi nchi ya watu timamu kuruhusu pesa ya aina hiyo kuingia kwenye mfumo. Inaifanya nchi kutokuwa na uchumi unaoeleweka. Wapiga dili ndo wanapanga uchumi kwa matendo yao Ndiyo maana uliona mtu ananunua plot kwa milioni 200 ajenge kituo cha mafuta eti tu ni karibu na barabara. Anayeuza anapata pesa nzuri lakini kwa kuwa chanzo na lengo ni ufisadi nchi haiendelei.Inawezekana uliipata indirect,sisi fundi ujenzi sometimes tulikuwa tunakuwa na kandarasi hadi tatu at a time,wale wa AC walikuwa wanafanyia service AC za hao jamaa kila mwezi,guess now what is happening!
Mkuu ila wakati huo uchumi wetu ulikuwa unakuwa kwa kazi ya 7% Ila sijui kwa Sasa unakuwa kwa asilimia ngapi? Ila kitu kimoja ninachojua ni kwamba,kupiga vita rushwa au madili kunahitaji akili na si nguvu, otherwise utaua uchumi wa nchi.ila Tanzania chini ya ccm tumezoea kuishi Kama mashetani so hamna shida,ufukara kwetu ni fahariKwa ujumla mkuu wangu, siyo rahisi nchi ya watu timamu kuruhusu pesa ya aina hiyo kuingia kwenye mfumo. Inaifanya nchi kutokuwa na uchumi unaoeleweka. Wapiga dili ndo wanapanga uchumi kwa matendo yao Ndiyo maana uliona mtu ananunua plot kwa milioni 200 ajenge kituo cha mafuta eti tu ni karibu na barabara. Anayeuza anapata pesa nzuri lakini kwa kuwa chanzo na lengo ni ufisadi nchi haiendelei.
Leo hii wako wapi na vituo vyao? Au mafuta yamekwisha? Magari hatujauza, kwa nini vituo havijengwi?