Rais Magufuli amtumia salamu za pongezi Rais mpya wa Burundi

mkiluvya

JF-Expert Member
May 23, 2019
802
725
1591513803247.png

Rais Magufuli amempongeza Evariste Ndayishimiye kwa kuchaguliwa kuwa Rais wa Burundi katika uchaguzi uliofanyika Mei 20. 2020.
Rais Magufuli ametoa pongezi hizo kupitia ukurasa wake wa Twitter, na kuongeza kuwa wananchi wa Burundi wameonesha imani kubwa kwa kumchagua kiongozi hiyo.

“Nakupongeza Ndg. Evariste Ndayishimiye kwa kuchaguliwa kuwa Rais wa Burundi. Wananchi wa Burundi wameonesha imani kubwa kwako,” ameandika Rais Magufuli.
Aidha, amewatakia heri wananchi katika shughuli za ujenzi wa taifa lao na amemuahidi kiongozi huyo kuwa Tanzania itaendeleza uhusiano mzuri na Burundi.
 
View attachment 1470717

Ni jambo jema!
 
Hajachaguliwa....

Africa vyama tawala vinajichagua vyenyewe....
 
Nimekuelewa ! Ulichomaanisha kwamba mh. Rais Ni mrundi?

Huyu jamaa Ni msukuma ingawa karibia watu wote tuna mwingiliano wa makabila na asili zetu.
Hapana mkuu hapo umesema wewe usinichonganishe na mtukufu
 
Back
Top Bottom