Rais Magufuli amteua Venance Salvatory Mabeyo kuwa Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania

Nicodemas Tambo Mwikozi

JF-Expert Member
Aug 13, 2016
663
1,047
PIC+TPDF.jpg

Jenerali Venance Mabeyo
IMG-20170202-WA0373.jpg
 
Kwa watu wanaofahamu siri na itifaki za kijeshi nchini walifahamu mapema kuwa atakuwa Mkuu wa Majeshi baada ya kuteuliwa kuwa Chief of Staff kutoka Chief of Military Intelligence.

Hata General Mwamunyange alipitia njia hiyo hiyo kutoka Chief of Military Intelligence.

Nimtakie maisha marefu General Mwamunyange kwa kukabidhi jeshi likiwa salama lakini pia limepiga hatua kubwa kiufanisi.

Nimtakie pia General Mabeyo kazi njema na yenye mafanikio.
 
Rais JPM amteua LG VENANCE MABEYO kuwa mkuu wa majeshi ya ulinzi na usalama Tanzania kufuatia kustaafu rasmi kwa Mwamnyange.
Source:TBC 1
 
Back
Top Bottom